Manchester United (Red Devils) | Special Thread

goli 30 za ligi ni goli 16 hizo nyengine zote za carabao na europa timu zenyewe omonia na sheriff hujui wafungaji wewe kutoka kwa rud van sahivi useme rashford clinical finisher ! sahivi ana goli ngapi ? mfungaji anakuwa kama huyu hojlund timu imepoteana nafasi hakuna ila akikutana nayo anatupia
 
Bado una sonona
Sina uwezo wa kutype paragraph yote iyo.
 
huna akili kama yeye
 
De gea pamoja na ubovu wote wa man utd lakini last season yeye ndo alikuwa kipa mwenye clean sheet nyingi.

Inabidi mtafute kocha akaongee na mashetani mule ndani
hata zidane anaweza kuongea nao akishindwa mwingine baasi arudi ole guna.
 
Clinical finisher wa mchongo sijui mapenzi na rashford au ndo huwajui clinical finishers
 
Siku Onana akikutana na Salah Anfield au Haaland Ettihad.. πŸ˜‚πŸ˜‚

Ngoja niache kuwaza ujinga!
David Gea hapa ni kama anasema come down mutherFckrr!! si mlinicheka bana? Tulieni dawa iwaingie.

Hakika lilikuwa kosa kumwondoa kikosini kipa ambaye amesha kuwa man of the match mara kibao kisa mistakes ndogongogo.
ka onana kafupi , huwa kanajirusha kama ushahidi tu ila pale hamna kipa. #BRINGBAKCDEGEA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…