raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,503
- 35,686
Trust the process.Wamiliki wanaweza kuwa tatizo, lakini kocha pia ni tatizo mil 400 lakini bado hata hatueleweki tunacheza nini.
Tuzungumzie mpira wa Leo mlioingia na kung fu za kichina mpaka lichezaji lenu tahira linachoma golini.Last season tukiwa kwenye hali mbaya ila tuliwafunga mabao 7
Safari hii Hawa tunawatoboa hata 20
Nilikuwa nataka nishangae wanangu crystal palace, tabia ya kufungwa mara mbili mfululizo wameanza lini
Wengine tulifukuzwa hadi jukwaani
Kiko wapi???????
Uhalisia ni tumepigwa tena sana. Misimu miwili hamna kitu kinachoeleweka.Tuache utani wazee inaweza kuwa kweli Ten Hag tumepigwa. Mnaona mambo wanayofanya Spurs? Iweje kila siku sisi tu ndiyo project zetu zinafeli!!!
Atafute wapi tena wakati ndo kaamua kuwaleta hao. Tukubali jamaa mweupe sana kwa kumfundisha EPL.Amrabat na mount ni bench warmer
Eric ten hag should play smart EPL is crazy
Mount ana pace akili ya mpira hana
Amrabat akili ya mpira anayo mwili ni kinu/km kafungwa kokoto anavyokimbia hadi nimemhurumia
EPL wahuni watakuwa wanatanguliza mpira ili wamwaibishe tu
Mount hatimizi majukumu yake anamtegea casemiro
Ten hag hapa asihesabu amesajili wachezaji hawa watamharibia kazi (mount na amrabat ni wachezaji wa kikosi
Hojlund anahitaji muda ku cope na kwa presha ya manchester united ulivyo tunaweza tusipate ubora wa dogo
Rashford alywas childsh (watu wenye vichwa vidogo na inasemekana uwezo wao wa kufikiri ni mdogo naanza kuamini kupitia uyu dogo
Nashindwa hata nimlaumu nani
Msimu huu ni km umeisha hivi
Ten hag atafute wachezaji mount na amrabat tutaishia kugombea carabao tu
bonge la kocha hawezi kumkubali RashfordWasiojua mpira watalaumu ila tenHag ni bonge la kocha bado kidogo mtaelewa
hata akili pia hana huwezi kurudisha hela kwa kwa Mc tominay hata bure unamtoaUhalisia ni tumepigwa tena sana. Misimu miwili hamna kitu kinachoeleweka.