Manyumbu aka Manundu ,mumeyakanyaga ! , Ngedere ninyi ,mnashindwa kushinda mechi za kitoto kama hizo ,ninyi mnaweza nini ? ,Au kukata mauno ?
Subirini Chelsea ,chama teule Jumatatu tuingie dimbani .
Fisi maji nyieeee
Crystal palace uyu ambae arsenal alishinda kwa tabu sana tena kwa penalty
Katoa sare na brentford
Kampiga wolves
Katoa sare na fulham
Team Kama hiyo unaeza sema ni mbovu kwel??
Yes Manchester yetu haiko vzuri lakn angalau tumeona utofauti jana