Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bro nmeongea na ETH kasema deni lako atakulipa week ijayo.
Kikubwa uache kumtukana kisa buku unalomdai, manake hupoi mzee
 
Hapo umemaliza
 
Bro nmeongea na ETH kasema deni lako atakulipa week ijayo.
Kikubwa uache kumtukana kisa buku unalomdai, manake hupoi mzee
Sijawahi kutoa tusi Kama lipo nioneshe nitaomba nipigwe ban ya mwaka mzima

Shida yenu hamtaki 7hag asemwe ,ila endeleeni kumtetea kwasisi Ni furaha Maana Sion akiwafikisha popote ,mtakuja kushtuka kashawafikisha shimoni

Kipindi hicho hata kuchezea conference league haiwezekani

Believe me ,mabos wa manjesta walimtoa Ajax wakiamini analeta Modern football,wangetaka hii papatupapatu wangemuajili Tony pulis,Big Sam au Sean Dyche
 
ajitokeze demu mmoja tu aseme kwamba Rashford amemfanyia violence basi sisi huku hadi Africa tuta msapoti huyo mwanamke kwa mara ya kwanza na picha na video za vidonda tutatengeneza, Rashford ni takataka inayoishi serious

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kuwapa kandarasi mpya halikuwa baya kwa sababu timu haisajili sasa angefanya nini kama mwalimu.

Amemtaka Harry Kane kaletewa Hojlund, alimtaka De Jong kaletewa Casemiro, dirisha dogo aliletewa loanee Wachovu wachovu.
Hary Kane ulikuwa uamuz sahihi kunyimwa ,Ni Yale Yale ya casemiro

De Jong mwenyewe alikataa

Hakuna kocha aliyepewa nguvu kubwa toka aondoke Fergie Kama 7hag ,

7hag ana had kampuni linahusika na usajili man u ,anasema ana Veto kwenye usajili kasema mwenyewe 7hag

Sajili za Hojlund ,Malacia,Weghost,Amrabat, mount , eriksen , Martinez , reguilon , zote zina mkono wa 7hag

Na Baadhi ya wachezaji wanasimamiwa na Hilo kampuni ambalo mtoto wake 7hag Nigel anafanya kazi humo

Mtakuja kushtuka mwishon kabisa kuwa kocha wenu hakuwa na uwezo wakufundisha timu Kama manjesta EPL ,

7hag namfananisha na Samia Suluhu ,wamepata bahati ya kuongoza taasisi kubwa lakin uwezo wao mdogo .
 

Your browser is not able to display this video.

Majanga tu...
 
Mnamtetea huyo kocha wenu hadi inatia kinyaa

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Klopp ilimchukua misimu mitano kwa Liverpool kupata walau kikombe kimoja tu.

Ilimchukua Arteta misimu minne angalau kuwa na timu inayocheza kwa muunganiko mzuri.

Tulimtetea Ole kwa hoja hizi hizi leo hii iwe nongwa kumtetea Ten Hag?

Au alitakiwa kubadili kila kitu overnight ?
 
Watu wenye mawazo tofauti na wewe ni kenge siyo ?
 
Unamzungumzia De Zerbi ambaye katika miezi sita tayari amesajili wachezaji 11 au mwingine ?
 
BRAZAA nyumbu kanyimwa akili ya kuvuka mto wenye mamba, we si unaonaga wakiwa wana hama pale serengeti, hawawez awa kuku elewa, mbona mda mrefu sana uliwapa fact

man u, mnacheza pira bovu, mpaka hamvutii sasa sisi tutabishana na naniii kama sio nyie, hata sipendi kinachoendelea
 
hamis77 Wew ungetulia, kwa hiyo unatuombea tupate kocha mzuri ili tufanikiwe.
Acha unafiki, sisi sio ndugu zenu na haiwezekani wewe ututakie mema.
ETH ni kocha Bora, mbn arteta msimu juzi game nne za mwanzo alikuw na point 4.
Arteta miaka 4, kaingia top 4 mara moja, ETH 1 year na top 3 yumo.
Deni lako utalipwa, hasira zikuishe.
United hatuwez kushauriwa na arsenal😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…