Man ilioanza mchezo kwa kasi ikionekana na hesabu zake za kutaka ushindi wa magoli ma3 ili iweze kusonga mbele kwenye michuano ya mabingwa wa ulaya.Imefanikiwa kusonga mbele na ushindi wa 3 bila.Ambapo magor yote ma 3 yamefunga na van persie.Ushindi huo ulishatabiriwa mapema na kocha wao Moyes.Baada ya kuvuna matokeo mabaya toka kwa liverpool aliwasititiza wachezaj wake kucheza kwa hali na mali ili kurudisha iman ya mashabiki kwa man u.kipa wa man u pia alifanya kazi ya ziada kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwa kuokoa michomo mbali mbal langon mwao.BIG UP FANS WA MAN UTD KWA USHINDI MUHIMU