Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mmeacha Shot stopper mmekimbilia kwa kipa ambaye ni mzr zaid kwny footwork.

Mlivo wa ajab mtafikir Uwa mnacheza aina iyo ya mpr had muwe na uhitaj na Onana.. Mpr wenu wa kuunga unga hlf ETH na yy alivo hana aibu amejificha bd kwny injuries wkt ukiangalia team haujui hata inacheza brand ipi ya mpr.

Mwsho wa siku onana anaonekana na yy hana lolote kwa sbb mda wote nyie team yenu inapigwa msako tu.

Sema anguko lenu kiukwl ni zuri na nyie mpitie heka heka kwa mda mrefu
 
Sasa Ambangile Mimi ndiye mentor wake ,hivi unadhani hili jina la mchambuzi nguli lilikuja hivi hivi tu

Ungejua Ambangile anachukua madini mengi kwangu ,ungenipa heshima yangu

Hivi Nani aliyeawaambia ukweli humu kuhusu uwezo wa 7hag kama sio Mimi

Simlikuwa mnadanganyana humu 7hag ana uwezo ,

Nikawaambia hana playing style Hana brand ya kisasa ya football

Nan aliyewaambia humu kuhusu 7hag kuwa Dalali ndani ya manjesta had juz imejulikana ana kampuni lake la Udalali na mwanae NIGEL Ni mfanyakazi
 
Paul Scholes on #mufc:

"I think they are a cup team. They can possibly win the FA Cup, they can possibly win the EFL Cup, but they are not at this level [UCL] yet."

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Casemiro’s game by numbers vs. Bayern Munich:

85% pass accuracy
49 touches
34/40 passes completed
3 ground duels won
3 tackles won
2 goals
1 key pass

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Manchester United’s next five games:

-Burnley (A)
-Crystal Palace (H)
-Crystal Palace (H)
-Galatasaray (H)
-Brentford (H)

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Group A - UCL

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Hapa sasa kazi yangu ni kwenda kumcheki Mark Goldbridge nicheke kidogo
 
Kuna mtu alishawai kusema Kuwa DDG alikuwa stopper wa matitizo aliyoyatengeneza mwenyewe yanayotokana na press kutoka kwa wapinzani wakiwa na mpira...... kama jana ile mipira inayolud kwa kipa ingekuwa inapigwa hovyo na kukuta kiungo ya Bayern tungekufa nyingi kutokana na style yao ya ushambuliaji
 
Nyakati zinabadilika lazima tukubali DDG alikuwa sehemu ya Tatizo na namna Bora ni kila mtu kuchukua njia yake. Sancho naye anabidi afanye zaidi uwanjani kuliko kwenye mitandao ya Kijamii.

Umesema fresh kwenda jino kwa Jino na MD's za Bayern ilikuwa ni kujiua na hasa ukiangalia jinsi wanapenda Duels na wanazi-win. Kuna wachangiaji wanazungumzia McTominay, Mshkaji ni Squad Rotation Player at His Best. ETH amekuwa na Nostalglia ya FDJ sababu jamaa anaku-offer kila kitu unataka kwa CM. Kimmich anafanya Double Tackling afu anasapotiwa na Goretzka kazi inakuwa rahisi kwa Musiala, afu unakuja Ona McTominay anajog uwanjani.

UTD Bora kwa sasa ni ya Kutumia 4~1~2~1~2 Diamond {Onana - Dalot, Licha, Rapha, Reguillon - Casa - Amrabat, Mount - Bruno - Rashy, Rasmus} Muundo wa Timu Game zote wakiwa wana-Press umekuwa namna hii {4~1~4~1 / 4~4~2} na almost 1st Half UTD inakuwa Best team changamoto ni Stamina na Individual Errors zimekuwa Mingi na kuharibu Rhythm.
 
Last season 7hag alikuwa anakamatika mechi kibao Kama anavyokamatika msimu huu

Degea anawaokoa, kwa ujanjaujanja huo huo akafika fainal Carabao

But mwaka huu yupo Onana , mtapigwa Sana

Burney nao wanajiandaa kutaka points
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…