Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,190
- 4,353
magwaya mweusi
Hivi VITAKWIMU vyako vya kisenge vinasaidia nini sasa KENGE weweManchester United are struggling [emoji15]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2756449
Hivi wewe huwa unituzama mpira gani? Onana anayomapungufu yake ya kibinadam kama alivyokuwa De gea, kwa magoli anayofungwa Onana kipa yeyete yule ata awe bora vipi anafugwa. Tunafungwa magoli ambayo mfungaji anakuwa huru na kuchagua wapi ashoot yaani hakuna block wala interference anayofanyiwa na beki zetu. Hivi sasa tumekuwa na beki mbovu nadhani kuliko msimu wowote tangu niwafahamu utd. Kama nikustop mashut tumeona Onana anstop shoot nyingi tu. Majeruhi ya beki zetu huwenda ndio yanatugharimu kwa kiasi kikubwa Nilichofurahi leo angalau timu imeanza kupata magoli kupitia straiker sio viungo na mabeki pekee.Vp bado huna wasiwasi na uwezo wa onana?
Sometimes Kuna watu muda wote mnapenda lawama sasa kwa sub Kama hii wewe ukiwa kocha Ulitaka aanze nani.?Kocha ni kiazi sana huyu. Kiungo cha wastaafu kila mecho anawapanga na hakuna matumaini yoyoye. Bichwa lake kama papai.
Yaani da-Gea alichukua tuzo ya msimu na bado tukamuacha.Hivi nyie NYUMBU mlipata wapi ujasiri wa kuachana na De gea na kwenda kuchukua Pazia la mashineni ONYOKO?
Pigo kubwa sana kumkosa Anthony na Bissakahii mechi tungekuwa na Antony,bissaka na sub ya ericksen ushindi Ulikuwa nje nje.
[emoji1787][emoji1787] huna timu, Galatasalay atawafunga nje ndanihii mechi tungekuwa na Antony,bissaka na sub ya ericksen ushindi Ulikuwa nje nje.