bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,349
- 23,447
Yaende wapi?Dah,yatapita tu haya
Yaende wapi?Dah,yatapita tu haya
Yule jamaa alikujia juu ,Sasa hivi kakimbia jukwaaTwo months later, bado hatuna golikipa
Tusaidie nani aanze waliopo benchKocha ni kiazi sana huyu. Kiungo cha wastaafu kila mecho anawapanga na hakuna matumaini yoyoye. Bichwa lake kama papai.
Penalty imeharibu.Kipindi cha pili tunarudi kama Galatasary
Game inaisha 2-2
GGMU
Ila huyu Onana hakustahili kuwa hapa kwa muda huu.
Kipindi cha pili tunarudi kama Galatasary
Game inaisha 2-2
GGMU
Ila huyu Onana hakustahili kuwa hapa kwa muda huu.




