Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Natamani kuangalia kipindi cha pili lakini nafsi yangu inaniambia Flano kwa usalama wa afya ya mwili na akili yako kwa jinsi unavyojitoa kwa dhati katika kuishabikia na kuitetea United kwa mechi ya leo ni ubora upumzishe tu fuvu lako.
20230820_004353.jpg
 
Sio kwamba manjesta ilikuwa haishambuliwi alivyokuw de gea,ni kwamba jamaa alikuwa anapunguza sana idadi ya magoli,kwenye tatu mnaweza pigwa moja.timu ni ile ile matatizo ni yale yale tofauti ni kipa tu golini
 
Back
Top Bottom