mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
Lile goal naangalia clip yake, mdomo ukabaki wazi aiseeKwa wanavyocheza vile hata kukaa na mpira hawawezi, wanaweza kupigwa 6-0 kweli
Sifa za timu kubwa haijalishi mnachezaje ,kaa na mpira Basi
Brighton Kuna Goli wamepiga pass 30 bila chezaji yoyote wa manjesta kugusa
Bayern anawaua leo hawa
Ten Hag’s message to the #mufc players: 


wakubaliane na hali tu, waache leo ipite







Bruno Fernandes had the most assists (7) in the UEFA Champions League the last time he played in it (2021/22).
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃