Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

7hag anataka aendelee kushinda kwa Miujiza Kama mwaka Jana

Nilisema hapa ,ushindi wa papatupapatu, janjajanja, viziavizia hauna maisha marefu

Leo anasema wachezaji wawe na Imani watashinda ,how? Kwa kaunta ambayo zinategemea Rashford kaamkaje


[emoji599] Ten Hag’s message to the #mufc players:

“Believe! The belief that we can beat them, from start to finish.”
 
Timu yoyote yenye misingi ya kukaa na mpira itawapiga Hawa jamaa

Subiri uone Burney ya Company next week sitashangaa wakichukua point 3

Msimu huu Hakuna room ya kupata matokeo kwa Miujiza
Picha za usiku zimeanza kuvuja
1694349904758.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alietengeneza hii animation ya Onana mbinguni ataenda kwa magoti.
 
Chukua beki huyu muache kufungwa
 

Attachments

  • FB_IMG_1695222035104.jpg
    FB_IMG_1695222035104.jpg
    42.9 KB · Views: 17
Ole kasema ya moyoni kweli Timu yetu imeozaa inahitaji watu wapya kuanzia wamiliki mpaka wachezaji.
Mambo ya DNA yanatufanya turudi nyuma mpira umebadilika mambo ya kucheza kama Ferguson tuachane nayo 10han atafute mpira wa kueleweka wa Timu kucheza kama Hawa nyumbu wakubwa hawawezi fukuza wote tuanze na academy players.
 
[emoji991]

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230920_202934_513.jpg
 
[emoji599] Thomas Tuchel’s record against #mufc:

  • 4 games.
  • 2 losses.
  • 2 draws.
  • 0 wins.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230920_203041_777.jpg
 
[emoji91] Bruno Fernandes had the most assists (7) in the UEFA Champions League the last time he played in it (2021/22).

Creative monster [emoji2956]#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
 
[emoji2399]🪄

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230920_204520_170.jpg
 
Back
Top Bottom