Ukweli usemwe uongozi una shida, wamiliki shida na shida zaidi ni 10hag jamaa mweupe sana kimbinu Wala sio Siri hamna game plan sub anafanya za mazoea sio tactical yani anafanya sub kuongeza nguvu sio kwamba wanaenda kubadilisha kitu.
Kocha yuko na ego na hiyo ndo itamuondoa Manchester, ugomvi na wachezaji, anapanga position tofauti kina Bruno kocha maneno mengi kama hadija kopa ila kudeliver 0.
Kuna mda nilikua nafurahi zile pasi za Brighton zinavyopigwa ingawa roho inaumaa ila wanafurahisha kuangalia.