Sasa hivi a lots of fans ndio wanaanza kuhoji uwezo wa 7 hagHapa wazee tuongee lugha moja. Hatuna kocha haiwezekani kila timu tukicheza nayo tunakuwa sisi ndio hatuna mipango.
ETH anaweza kuwa kocha mzuri lakini hafiki viwango vya EPL.
tunaanza ligi pale allianz arena, kaa kwa kutulia.Baada ya baryen Kuna mech Kama 4 hivi za kawaida
Hii timu inashida kubwa tatizo inaendeshwa kibiashara.Polen sana ,badilishen kocha kwanza , Grazzer family Wana madhaifu but wangeweza kufichiwa na Kocha ,
Ni siku nyingine tena ya kupata ngarambe Safikikosi Cha watu wazima kinashuka leo kutoa burudani kabambe Sana majirani wote karibuni sana mpate burudani.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
My prediction
Manchester United 2 vs Brighton 1
11.00 jioni
Old Trafford
hawa watoto tutachapa Sana leo
Pigaaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaa
Chinjaaaaaa
Aaaah hakika kitawarambaView attachment 2750708
Watu wanasema Man Utd haina wachezaji, ila ukikumbuka Mourinho alishinda Europa na Phil Jones, hutaamini.Mourinho ''I said nine or 10 months ago that after winning eight Championships, finishing second with United may have been my greatest achievement. Now people understand.''
View attachment 2751382
Nipende kuwaambia tu ndg zng.. Mateso mnayopitia ndo kwnz yameanza.. Mtapitia heka heka had mjue ama kwl dunia duara na kila nyakat na watu wake.Ni mwendo wa 3G tu mpaka Glazers wauze timu, Mayai7 simamia hapohapo kama mashabiki tumeshindwa kufanya migomo kushinikiza timu iuzwe basi tumekuruhusu kocha wetu kutumia hio planB mpaka Mwarabu apewe timu.
Kwanza mpira haramu ni vile tu ibilisi ana nguvu ya ushawishiView attachment 2751407
Rashford mbinafsi sana.Ukiangalia timu pinzani unaona wanampango wa goli ila sisi unaona kina Rashford wanakimbiq kimbia tu hawapo kwa ajili ya timu. Yaani ingekuwa enzi ya Sir Ferg Rasford angeshaozea makumbusho.
Punguza kuja kwenye magroup ya Timu za Wanaume we FalaNi mwendo wa 3G tu mpaka Glazers wauze timu, Mayai7 simamia hapohapo kama mashabiki tumeshindwa kufanya migomo kushinikiza timu iuzwe basi tumekuruhusu kocha wetu kutumia hio planB mpaka Mwarabu apewe timu.
Kwanza mpira haramu ni vile tu ibilisi ana nguvu ya ushawishiView attachment 2751407