Manchester United (Red Devils) | Special Thread

2nd half....needs history making performance from the lads....
 
Sijui nani ni mbadala wa valencia..labda ataponeshwa kwa muda.mi muhimu sana anakimbia sana.anakaba sana/kwa nguvu.anaingiza mipira mingi katikati kwenye kushambulia.anampumzisha kiasi rafael.
 
.... Belo bana,....
Eat your words now,
Temea pembeni kisha useme
Afadhali Moyes hakusikiliza ushauri wako!


#MosKwito !

RVP kiwango kimeshuka now hana confidence,ile penati labda Ozil ndio anaweza kosa hata mi nafunga
 
Last edited by a moderator:
Man u anatakiwa apate goli 4,hapo usalama
upo,maana 3-1,Man u nje,olypic watakuwa na goli la ugenini,hivyo Man wahakikishe Olypiac hawapati goli la ugenini.kila la kheri Man u
 
Namna hii...timu ingekuwa inacheza kwa morali kama hivi, hakika tungekuwa top 4...
 
mnalipiZa sio kipigo mlichokipata kwa liver?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…