Aombe msamaha kwa kosa lipi alilomfanyia 10hag... Huyu kocha amekuaje tena..Shughuli yake imeisha hapa [emoji107]
[emoji599] BREAKING:
Jadon Sancho REFUSED to apologise to Erik ten Hag! #MUFC
[@TheAthleticFC]
Iwekeni hapa tuoneMama yake kaongea kwa hisia Sana ,Mimi Kama mzazi mwenye mtoto ile meseji yake imenigusa Sana
Jamani tuacheni huyu jamaa kuna kitu kinampoteza ni ishu ya kisaikolojia,Zaidi anavyoandamwa na kujiona mtu ambaye hana bahati basi ndio anazidi kufanya mistakes
Upo sawa But Wachezaji wa Kiingereza wanayatafuta wakati Mwingine haya kwa sababu ya EGO's zao. Kwa Mfano Maguire alikuwa na nafasi ya Kujitoa kwenye Spotlight na kuanza Upya akiwa W/Ham ila kafikiria zaidi Fungu zaidi, so mda Mwingine unaona kama wanayajitakia, Kiuhalisia ni Mchezaji mzuri ila Sio wa Timu kubwa kariba ya UTD!Maguire alipofikia angejitoa kwenye Social Media kwa muda na akubali kuondoka United. United ndiyo timu inaongoza kuuza habari. Hivyo media zikipata habari mbaya inakuwa kubwa, hapo ndiyo na mashabiki wanaunga tela kufanya cyber-bullying
Social media kuna wakati wachezaji hawataweza kuwa na social media platforms tena.Toxic fanbase Ni hatari kwa afya za wachezaji wengi
Huyu dogo ana tingisha kibiriti nae duuh hata alipokuwa dort uwezo ulikuwa wa kawaida tuuView attachment 2749300
Wavulana wawili chali,
Narejea tena...wavulana wawili chali.
Mwanaume mmoja hajui ashike upande upi.
Mwanaume mmoja atabaki kuwa neutral
Mechi iendelee
Sancho akiondoka itamsaidia Erik Ten Hag kufikiria upya namna ya kufanya recruitment.View attachment 2749300
Wavulana wawili chali,
Narejea tena...wavulana wawili chali.
Mwanaume mmoja hajui ashike upande upi.
Mwanaume mmoja atabaki kuwa neutral
Mechi iendelee
Pep na Ferg kwenye squad management ni level nyingine kabisa huoni wachezaji wa Pep wakileta ujinga wa nje ya uwanja.Upo sawa But Wachezaji wa Kiingereza wanayatafuta wakati Mwingine haya kwa sababu ya EGO's zao. Kwa Mfano Maguire alikuwa na nafasi ya Kujitoa kwenye Spotlight na kuanza Upya akiwa W/Ham ila kafikiria zaidi Fungu zaidi, so mda Mwingine unaona kama wanayajitakia, Kiuhalisia ni Mchezaji mzuri ila Sio wa Timu kubwa kariba ya UTD!
Angalia Mda huu sakata la SANCHO, Media za Uingereza zinapenda attention na timu kubwa zenye Fan Base kubwa, na ndo mana UTD habari zake zinakuwaga na Uzito. Players wengi kipindi hiki mapato Nje ya Soka hasa kwenye mitandao ya kijamii yanawaharibia. Messi na CR7 Umaarufu umewafa baada ya kuwa Serious na Kazi zao. Rodri among the Best DM's kwa sasa jamaa Uuzaji kakataa kabisa mana wanadai hana Akaunti Social networks {I stand corrected} Ni moja ya Old School Players ila Jamaa uwanjani ana Muendelezo mzuri sana wa Performance.
Wachezaji wa Kiingereza kwa sasa ni Bellingham tu naye tunampa muda, kwa Hawa walio na asili ya Ki-Black wanatatizo sana asee, Delle, Sterling, Rashy, Sancho, Sturridge, Odoi, list inazidi kwenda, ni aina ya wachezaji wasio na Consistency wamepata mikataba mikubwa wakiwa wadogo na imewaharibu sana. Kuna na mfano mkubwa Pogba {ile kukulia Uingereza}
Fergie na Pep angalia aina ya Blacks unawakuta katika timu zao, wanajielewa haswa na wafuata maelekezo, ikitokea wakijitoa ufahamu hata wawe na uwezo wa aina gani wataondoka tu!
Hivi vichezaji vikina Rashid cjui Martial vitazidi kuizamisha utd mpaka siku mkija kustuka timu iko championship.Kama Antony atacheza mwanzo mwisho, kisha Rashford left wings, Hodjlund kati sion beki ya Arsenal ikipanda maana wataunguza kibanda muda wowote, na hakuna mcgezaji hatari kama Rashford kwenye big matches.
Sancho BVB hakuwa wakawaida alikuwa na misimu mitatu Bora Sana Kuna msimu alipiga assist 20Huyu dogo ana tingisha kibiriti nae duuh hata alipokuwa dort uwezo ulikuwa wa kawaida tuu
So far, so good. Sancho aendelee kuwa kiburi tu January anaweza kufunguliwa mlango.Hivi vichezaji vikina Rashid cjui Martial vitazidi kuizamisha utd mpaka siku mkija kustuka timu iko championship.
Mpk lini atafanya hivo wakati now watu wanataka resultsSancho anafuata nyayo za Ronaldo. Mbona Rashford alikaa bench msimu uliopita kwa disciplinary issues na hakwenda kwenye Social Media kulalamika?
Anachofanya EtH ni ku-set standards na wanaoona hawawezi kuendana na kasi yake wanakaa pembeni kama huyo Sancho. Mchezaji alipewa 4 months off, mkataba wenye thamani ya £350k per week bado anashindwa kufika mazoezini kwa wakati na anafanya mambo anavyotaka yeye.