Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Most own goals in Europe

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
IMG_20230914_103633_609.jpg
 
Reporter : Harry Maguire scored a goal for you, did you like him playing in your team?

Scotland head coach : 𝐍𝐨, 𝐝𝐞𝐟𝐒𝐧𝐒𝐭𝐞π₯𝐲 𝐧𝐨𝐭.

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
Tom Holland on Harry Maguire

Aisee Grazzer family nao jipu lakin watu wa management Kwanini wamekuwa hawashinikizi Hadi wanaonekana wao na Grazzer Ni wamoja.

Mfano Swala la Sancho na kocha ndiye mwenye maamuzi ,CEO Richard Mourtogh anaingiliaje kuwa mtu wa Kati?

Vipi ikitokea CEO anamtaka abaki ,kocha hamtaki
Mkuu Masingeli Glazer ni jipu kivipi wakati wao kila msimu wanamwaga noti za usajili?
Wewe tunakuomba uendelee tu kumlaumu Mayai7 kwa sajili zake halafu watetee hao kina Glazers na Management yao.
Chini ya Glazer na management ya Utd Mourinho mwenyewe alikiri kabisa
1694680193541.jpg
 
Most own goals in Europe

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2748751
Anaenda kuvunja rekodi akiwa mchezaji wa Man Utd.
 
Mkuu Masingeli Glazer ni jipu kivipi wakati wao kila msimu wanamwaga noti za usajili?
Wewe tunakuomba uendelee tu kumlaumu Mayai7 kwa sajili zake halafu watetee hao kina Glazers na Management yao.
Chini ya Glazer na management ya Utd Mourinho mwenyewe alikiri kabisa View attachment 2748782
Wana makosa ila sio kwamba 7egg hana makosa ,tuwekane sawa hapo
 
Aisee Grazzer family nao jipu lakin watu wa management Kwanini wamekuwa hawashinikizi Hadi wanaonekana wao na Grazzer Ni wamoja.

Mfano Swala la Sancho na kocha ndiye mwenye maamuzi ,CEO Richard Mourtogh anaingiliaje kuwa mtu wa Kati?

Vipi ikitokea CEO anamtaka abaki ,kocha hamtaki
Hii timu ina matatizo mengi ambayo mashabiki ni ngumu kuyaona. Mourinho, Van Gaal, Zlatan, Sanchez walishasema na Ronaldo ndiyo alikuja kufunguka zaidi. Watu kama Rangnick walisema ukweli wakatimuliwa.
 
Timu yetu imekuwaje aisee!? Kila siku drama. Ukifungua Twitter kusoma habari unakutana na Antony, mara Mama yake Maguire, Sancho, Glazers.

Yani United imekuwa na habari za kingese tu lately. Sasa hawa wachezaji wanapataje focus kufanya kazi kwenye mazingira kama haya. Kocha anaanza mabifu na wachezaji.

Badala watu wa-focus na Brighton & Bayern timu iko busy kusuluhisha ugomvi. Huyu Sancho bora aondolewe kama Antony kabisa tujue moja.
 
Mkuu Masingeli Glazer ni jipu kivipi wakati wao kila msimu wanamwaga noti za usajili?
Wewe tunakuomba uendelee tu kumlaumu Mayai7 kwa sajili zake halafu watetee hao kina Glazers na Management yao.
Chini ya Glazer na management ya Utd Mourinho mwenyewe alikiri kabisa View attachment 2748782
Glazers ni mafala. Wanatoa pesa ya usajili kutoka kwenye mapato ya timu.

Watu waliowaajiri hawasajili wachezaji kwa wakati, kitu kinachopelekea kocha anakosa 1st options.

Msimu huu EtH alitaka RCB, akawapa jina: Min-Jae wakashindwa, akamtaka Pavard / Todibo wakashindwa, wamemletea Johnny Evans. πŸ˜‚

Kwa Ole ni hivyohivyo alimtaka Bellingham na Haaland wakamletea Van de Beek na Cavani. Wakamtengenezea mazingira magumu zaidi kwa kumsajili Ronaldo kwa sababu zao za kibiashara.

Van Gaal alimuonya Ten Hag.
 
Ila wanangu tuacheni utani wa kumkandia sana Maguire ,he is really going though a lots ..

Jamani tuacheni huyu jamaa kuna kitu kinampoteza ni ishu ya kisaikolojia,Zaidi anavyoandamwa na kujiona mtu ambaye hana bahati basi ndio anazidi kufanya mistakes.

Enough ! Enough !! Enough!!! Tumuaveni huyu jamaa hayupo mentally active na pia tufikirie ubinadamu zaidi nje ya mpira kuna ule utu wa kufeel sympathy hafanyi makusudiπŸ₯²

Mimi kama shabiki nguli wa Arsenal naona huruma sana huyu ni binadamu ana familia ,jaalia mpaka mama ake amejitokeza kuzungumzia ishu ya mwanae...Wanaumi zaidi ya makosa anayogharimu timu..
 
Back
Top Bottom