HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,643
- 7,073
Yes. Najua Flano Hana matusi. Nimesema tu zamani ulikuwa huweki picha za kukera kama Flano anavyofanya kwetu. Ila Kwa sababu Hawa jamaa wanatukana sana, Sasa umezidisha makali kwenye utani hadi picha sasa unawekaFlano hanaga matusi yule jamaa huwa tunataniana tu ,hata kwa picha
But Kuna mashabiki uchwara humu wao matusi wanaona Ni njia Bora zaidi
Kaangalie siku ile tume draw na Fulham walivyokuja kama nyuki jukwaa kwetu ,na tulivumilia
Wao wanakuja na matusi tu,
Sisi tumeamua kutotumia matusi Ni fact tu

#mufc fans were unable to buy a Rasmus Højlund shirt at the Megastore for more than a month after he signed because they had NO 'øs'. 







Fabrizio Romano: "I think Sancho wants to play football. He joined #mufc with the expectation that he would be a regular starter for United. In that case, Erik ten Hag did a very good job to help the player [during last season]."
