Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,225
- 76,750
Niulize kuhusu mpira wa ligi ya Uingereza na Ujerumani na kidogo ya Ufaransa. Najaribu kuufuatilia mpira na siyo timuKweli united taifa kubwa.
Mashabiki wa Arsenal mnaipenda united sana. Mnajua habari zote zinazoihusu united kuliko united tunavyojua habari zenu.