Kama wewe ni shabiki kweli wa mpira huwezi kujifariji kwa ushindi wa jana. Kama mlikiwa na full kikosi na mkacheza mpira kama ule na ushindi wa papatu papatu ambao kwa kiasi kikubwa ulichangiwa na maamuzi yenye utata utata kwa kweli safari yenu sio nzuri sana na nadhani mda sio mrefu mtaanza kumtukana kocha kama sio wachezaji.#Arsenal tulimaliza mechi na 55% possession, but mashabiki wa manjesta wanadai walicheza vizuri
Arsenal tulizalisha xG ya 2.53 dhidi ya 0.98 man united ,Two big chances Kai & Saka
Tulipiga 209 passes katika final third ya manjesta wakati wao walipiga pass 74 tu kwenye final third ya Arsenal,kwa dakika 100
Ni 16% tu ya pass zote za man united ndio walipiga kwenye final third ya Arsenal ,nyingine zote walipiga kwenye backline Yao na chache eneo la kiungo , compared to Arsenal walipiga 40 % ya pass zote kwenye final third ya man u
Key area domination.
Na wewe ndio walewale,ni kupoteza muda kujibishana na nyie ambao mnataka kutuaminisha kwamba tuna Timu wakati ni UHARO tu,dakika 100 tupige Kona 3 halafu tuseme tuli-dominate mchezo!!!Utakua ni mjinga sana kama huelewi impact ya majeruhi kwenye soka, especially majeruhi ya first eleven. Na budget aliopewa haikuruhusu kupata wachezaji bila kutoa waliopo hata kama dirisha lisingefungwa.
United ina watu 6 wanaoweza cheza CB, wachezaji wanne ambao ni chaguo la kwanza la kocha wameumia, tunamaliza game na 5th & 6th choice CB, kama una akili timamu lazima utegemee ubora wa defence line yetu upungue, Na huo ndio muda ambao tumepoteza mechi.
Pia kuna game plan za kucheza na tim kama arsenal, city na barca ya zamani, mpira lazima uwaachie wao then wewe utegee counter.
Kuzidiwa kila kitu haimaanishi ulikua mbovu, ila ndo game plan inavotaka, kama unaangalia mpira kwa mda mrefu, game tatu za nyuma tulizomfunga arsenal tulizidiwa kila kitu ila counter ndo zinatupa matokeo.
Usiite uchambuzi wa mwenzio Uharo.
Angalia stats za Match day 3 kati ya Brighton na Westham ujifunze kitu
View attachment 2739538View attachment 2739537
SAWA TUISHIE HAPA KONA BOY.Na wewe ndio walewale,ni kupoteza muda kujibishana na nyie ambao mnataka kutuaminisha kwamba tuna Timu wakati ni UHARO tu,dakika 100 tupige Kona 3 halafu tuseme tuli-dominate mchezo!!!hii ni Man U UHARO kuliko Man U zote tangu Timu ianzishwe
Aseno walituzidi mpira mbali sana.Kama wewe ni shabiki kweli wa mpira huwezi kujifariji kwa ushindi wa jana. Kama mlikiwa na full kikosi na mkacheza mpira kama ule na ushindi wa papatu papatu ambao kwa kiasi kikubwa ulichangiwa na maamuzi yenye utata utata kwa kweli safari yenu sio nzuri sana na nadhani mda sio mrefu mtaanza kumtukana kocha kama sio wachezaji.
Ikiwa utd yenye majeruhi wengi kiasi kile iliwasumbua vile nawashauri jiandaeni kisaikolojia tusije tukalaumiana humu, nakumbuka mwaka jana tuliwaambia hamna uwezo wa kuchukua ubingwa kwa kuwa wachezaji wenu wana utoto mwingi, mkaturushia matusi mkadai tunawaonea wivu. Msimu huu pia kocha wenu kasajili wachezaji ambao hawajawahi hata kuliona kombe la EPL lina rangi gani ila mnajipa matumani ya kuchukua kombe, sawa imani ni yenu msije sema hatukuwaambia.
Kuna taarifa hizi sijui Kama Zina ukweli ,
Amrabat’s out for 6 weeks…