Hizo sub Ni wachezaji wetu? kocha wenu si alitapanya £450m kwa average playersYani mashabiki wa arsenal hata aibu hawana kwa mpira ule matokeo ya 3-1 ushindi wa papatu papatu basi wana amini tutakimbia jukwaa dah
Yani mtu umeona kabisa sub zile zimekupa mwanya bila hivo chao wasingekuwa nacho jana
Cry moreKwamba hujui hiyo ilikuwa ni counter attack unaujua kweli mpira ww? Nini wasiwasi sana na uelewa wako wa mpira inatofauti gani ni hii ya rashford? View attachment 2738334
Kombe litabaki kwa city tu ilo linajulikana rejea kwenye analysis ya mpira wa arsenal before 96+ minutes wenyewe huko kwenye jukwaa wana geuka ila walikiri wamecheza average football yani mpaka dakika 90 position ipo 50/50 kwenuHawajagundua had muda huu mpira wanaocheza ni kaliba ya brighton hawaoni kama city yupo mbali sana kutaka kuchukua ubingwa miaka 4 hamna hata dalili ya timu kutawala soka la uingereza bado wanasumbuliwa na eriksen katikati na wanataka uefa na epl kwa ile level aiseee
Mpira wa kushawishi Ni huu wa manjestaArteta ana miaka 4 bado hajaweza kucheza mpira wa kushawish kama anaweza kubeba ubingwa ipi thamani ya kutotumia pesa? Mbona sioni faida had muda huu arsenal haipo daraja la city wala liverpool
Kombe litabaki kwa city tu ilo linajulikana rejea kwenye analysis ya mpira wa arsenal before 96+ minutes wenyewe huko kwenye jukwaa wana geuka ila walikiri wamecheza average football yani mpaka dakika 90 position ipo 50/50 kwenu
Unajua manjesta kamiliki mpira mwingi eneo lake la backline tuKombe litabaki kwa city tu ilo linajulikana rejea kwenye analysis ya mpira wa arsenal before 96+ minutes wenyewe huko kwenye jukwaa wana geuka ila walikiri wamecheza average football yani mpaka dakika 90 position ipo 50/50 kwenu
Tulia mkuu maumivu makaliNa mwaka huu watapigwa sana mpira ule wamecheza kwao wakienda ugenini je?
Katika aibu nisizopenda ni uwe umamkaba mtu akajicommit kuslide afu akufinye namna hii na kufunga goli juu. Yaani hii aibu inakaribia Ile ya kupigwa kanzu ya chini chini, yaani Ile inakupita juu kidogo tu ya kichwa kiasi kwamba mpira unaweza hata kuchuna nywele zako kidogo lakani huna namna ya kuzuia na mwenzako anachukua mpira na kusepa nao.
Mpira wa kushawishi Ni huu wa manjesta
Niliuliza humu mtaweza kuzuia msako wa nyani pale Emirates
View attachment 2738337
Tulia mkuu maumivu makali
Mlidhani muhindi anatania kuwapa odd za mid table teamView attachment 2738341
Caliber ya Brighton? Sijajua unatutania sisi au unawachukuliaje Brighton. Wale sijui wanafeli wapi lakini sisi ukituambia tuchague wa kucheza nae kati ya Brighton na Man Utd, mara elfu tutawachagua Man Utd.Hawajagundua had muda huu mpira wanaocheza ni kaliba ya brighton hawaoni kama city yupo mbali sana kutaka kuchukua ubingwa miaka 4 hamna hata dalili ya timu kutawala soka la uingereza bado wanasumbuliwa na eriksen katikati na wanataka uefa na epl kwa ile level aiseee
kugongwa MMEGONGWA acha kujifariji hapaWewe ngoja nikiuache level yako ya kuujua mpira ipo chini sana sijui msako gani arsenal kaufanya jana akiwa nyumban kwake
Goli la pili kona baada ya captain wenu kubutua nje ya 18
Goli la tatu counter atack muda wote evans na maguire wanacheza bila pressure wale jana wangecheza na liverpool plus city ingekuwa shughuli wasingefika kule kwenye upendeleo wa refa
Caliber ya Brighton? Sijajua unatutania sisi au unawachukuliaje Brighton. Wale sijui wanafeli wapi lakini sisi ukituambia tuchague wa kucheza nae kati ya Brighton na Man Utd, mara elfu tutawachagua Man Utd.
Ukitaka kujua level ya timu yako angalia Odds tu...Tulia mkuu maumivu makali
Mlidhani muhindi anatania kuwapa odd za mid table teamView attachment 2738341
kugongwa MMEGONGWA acha kujifariji hapa
Kaka mtapewa reality check sio muda huu niwakati wenu kubadilika hamna mpira lethal mmekuwa wakutegemea 90+ minutes ndo mtafute ushindi plus ushindiUnajua manjesta kamiliki mpira mwingi eneo lake la backline tu
Had first half inaisha sidhan Kama mliingia box la Arsenal Zaid ya mara 2
Hiyo 50/50 inatokea wapi View attachment 2738339
Yup. Wale jamaa hatutaki kabisa kuwasikiaSahihi
Mpira wajana ulikuwa wa zamu zamu ndio maana ukawa 50/50 kila mtu alimilik eneo lake kwa sababu zake kulingana na tactics za kocha husika matokeo ya 3-1 yasiku blind reality ya janaUnajua manjesta kamiliki mpira mwingi eneo lake la backline tu
Had first half inaisha sidhan Kama mliingia box la Arsenal Zaid ya mara 2
Hiyo 50/50 inatokea wapi View attachment 2738339