Bora golini akae Maghayo kuliko Onana.Niliwaambia tafuteni kipa wa kueleweka Onana hamna kipa humo. Hili goli hata kipofu Steve Wonder anadaka
Martial ni mchezaji hewa ndani bora tumsimashe Mpwayungu Village asimame mbele
Sasa embu niambie Martial anacheza nini humo ndani..Mkuu unapenda malalamiko hivi kikosi Cha sub ukioni ukimtoa ericksen acheze Nani pale?
Kabisa kafanya kosa la kijinga sana huyu mzee.Eriksen in 45 seconds showed both his strengths and weaknesses. Superb ball to Rashford, absolutely no awareness defensively to stop Odegaard.
Vipi mjomba[emoji58]Waache waendelee kumiliki mpira si tunafunga tu
Jamaa ni majerui bado usishangae kacheza dk 10 tu au asicheze kabisa.Sasa embu niambie Martial anacheza nini humo ndani..
Tia our new boy Rasmus.