Amelifanya Kama jukwaa lake, hoja zake mmeshindwa kuzipanguaKinacho mtesa hamis77 ni ichi kipigo.
Kwaiyo ana uchungu Sana akifikiria Sijui kitarudi lini anakosa Nguvu Kwaiyo anaji fariji kwa kuja kupiga kelele tu hapa ujiulizi kwanini kakomalia hapa ni ichi kipigo kilimtoa akili Mpaka leo ayupo sawaView attachment 2735025
Watalikimbia wadhaifu,wanaume tutabanana nae tuAmelifanya Kama jukwaa lake, hoja zake mmeshindwa kuzipangua
Hamis77 muelewa Sana, mkae nchini myamalize. Hili jukwaa mtalikimbia wote humu
Bado hamjasemaImagine deadline day ndio tunajitafuta kumnasa Amrabat tena tunaomba watukopeshe!
Mie naona uko UCL huwa tunapalilia tu lakini hatuna ubavu wa kushindana bali tunaenda kumjaza Glazers mapesa tu. Ni heri tutolewe mapema tukose wote na wamiliki.
Ucl tutafika mbali mark my words Round 16 to Quarter final hapo ndo moto utakapowakaImagine deadline day ndio tunajitafuta kumnasa Amrabat tena tunaomba watukopeshe!
Mie naona uko UCL huwa tunapalilia tu lakini hatuna ubavu wa kushindana bali tunaenda kumjaza Glazers mapesa tu. Ni heri tutolewe mapema tukose wote na wamiliki.
Ndio mpira mkuu hawa hawa wanaotuponda humu na kutuombea njaa watatukuta tuna ka kombe mwisho wa msimu afu wao watakula chaka warudi wakiwa wameshinda aerials duel 1v1 most xG tactical overload cup na loser medallHuyu kipara ndezi (Ten Hag) naanza kupata mashaka naye kwa hizi sajili za kipuuzi.
Tumetumia zaidi ya Β£180m kusajili overpriced players wakati timu inahitaji maboresho ya mengi. Matokeo yake FFP na injuries zinatulazimu kuanza kutafuta flops.
Ambrat anakuja kwa loan option to buy hivo ndivo Florentina walivo sisitiza ili deal likamilike sababu ya FFP rulesTen Hag ni fala sana badala ya kutumia Β£65m kwa Mount angemsajili Amrabat. Sasa ameshtuka double 8s inafanya timu inakuwa exposed tayari kumekucha.
Scouts wetu nao walivyo wapuuzi wachezaji kama N. Jackson hawawaoni tumeenda kupigwa Β£70m.
Β£47m yote imeenda kwa kipa wakati tulikuwa na De Gea, Henderson, Kovar. Wote hao hawafai kwa kipindi cha mpito, sasa kwa uchezaji wetu Onana hatatusaidia ipasavyo.
Akija huku anasema mount tumepigwaπDah Rio ametutukana ila kasema ukweli ,
Rio Ferdinand kuhusu #Arsenal:
βNinaangalia mashabiki wao, Wana mambo mengi. Wanaenda hovyo.
"Havertz nje, meneja hajui anachofanya, anahangaika na timu sana, Partey anacheza beki wa kulia, Trossard akiingia haji na kufanya kazi yake.
βEddie Nketiah tunamtaka atoke...
Nyinyi(mashabiki wa Arsenal) mko kila mahali. Sielewi, mara Havertz. Ninaelewa hajapiga hatua bado, kama Mason Mount pale Manchester United.
"Jinsi nyinyi mlivyo 'mtoe nje. Hapaswi kuwa hapaβ. Nazungumzia fanbase hii siielewi. Ikiwa ni mechi 10-15, ningeweza kuona wanachosema kina mantiki.
Ni michezo mitatu tu ,
Watu wanahitaji muda .β