Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,493
- 35,647
DuhGroup A:
Bayern
Man United
Copenhagen
Galatasaray
Tukishindwa kuvuka hili kundi tushuke daraja tu...Group A:
Bayern
Man United
Copenhagen
Galatasaray
Hadi sasa hili kundi letu hatuvuki
Bayern anatupiga nje ndani,Galatasaray hata OT hatuwezi kumfunga now ni wa moto pia game ya ugenini mnaelewa vyema gundu la jiji la Istanbul tangu zamani hatutogaki salama tunachapwa.
Tukijikakamua ni point 6 za Copenhagen napo kwa mashaka
Group A:
Bayern
Man United
Copenhagen
Galatasaray
Zaha na Ziyech wanarudi England, nyumbu mjiandae hamna group jepesi kwenuu
Nakusanya points 15-18We group lako unaliona jepesi ila Upo na timu technical zote izo au psv umemsahau
Mda utaongea
Maridhiano na mtu anayekaa kwa shemeji yake Dada ake akiachika naye anaachika,abadani!Nyumbu kwa umoja wenu kaeni kwenye meza ya maradhiano na Hamis77, Kama kunatofauti zozote mzimalize
Mtu mmoja kasimamisha jukwaa zima, na bado anapiga spana kisawasawa.
Kaeni nae chini, yanazungumzika. Kama Kuna tofauti myamalizeMaridhiano na mtu anayekaa kwa shemeji yake Dada ake akiachika naye anaachika,abadani!
Apige tu kelele zake mshika ukuta wa Buza
Mkuu tunatoboa... Tufanye subraKwa hilo group la Uefa tutaboa kweli wakuu?
Nyie Kima mlioshindwa kumfunga Fulham nyumbani kwenu tena wakiwa pungufu ndio muweze kumfunga Sevilla?Group B:
Sevilla
Arsenal
We'll show them how to beat Sevilla.
Kinacho mtesa hamis77 ni ichi kipigo.Nyumbu kwa umoja wenu kaeni kwenye meza ya maradhiano na Hamis77, Kama kunatofauti zozote mzimalize
Mtu mmoja kasimamisha jukwaa zima, na bado anapiga spana kisawasawa.
Sawa lakini sio kipigo hiki cha mbwa koko mlichopigwa nyie Arsenyodo.Manjesta na baryen atapigwa nje ndani kushoto kulia katikati pembeni
Pumbaff