Arsenal tumechoka maneno sasa tunataka kombe either EPL au UCL.... winners celebrate, losers explain, nyie no losers yaani
hamis77 Unaongea kama losers na msimu ukiisha huna kombe, nyie ni timu ya maneno mko top kwa mdomo.... last season ETH ndio kaingia united na match 2 za kwanza alifungwa lkn alipambana timu ikashika nafasi ya tatu nyuma yako wewe mdomo mdomo fc, bora utulie ETH ana profile kubwa kuliko huyo baba yenu arteta na atafanikiwa kabla ya hyo arteta wenu....uzuri ETH alipofika alisema wapinzani wake wakubwa ni liverpool na man city, yeye hawafikirii timu za vipind km arsenal.
Liverpool tayari tumemzidi mafanikio season ya kwanza, saiv mdg mdg tunamfata man city huko huko juu, hizo style of playing au talent ID mtabaki nazo nyie mdomo mdomo fc sisi ni possession na makombe km Atletico Madrid au madrid yenyew.