Fulham hajaisumbua Arsenal ,walifanikiwa kushikilia bomba , Fabio Vieira kaingia kucheza hiyo nafasi ya Xhaka kasababisha penalty Katoa assist
Mkuu Mimi nitawaambia ukweli siku zote ,7hag ni tapeli ,Graza mnawatwisha matatizo mengine hawahusiki
Arsenal angecheza Kama mlivyocheza na forest ,Arteta anafukuzwa kama Emery
Arsenal Sasa hivi huwez kuiona nje ya top 3Graham Potter
Nuno Espírito Santo
Di Zerbi
Hao hata wangepewa arsenal wangefanya vizur wanakuwa kwenye timu ambazo hazina uhitaj mkubwa wa matokeo hata miaka 3 wakimaliza wa 8 safi tu ni makocha wakali wa timu za daraja la kati timu kubwa wanatimuliwa
Safari 7hag anaweza wapeleka nafas ya 10Graham Potter
Nuno Espírito Santo
Di Zerbi
Hao hata wangepewa arsenal wangefanya vizur wanakuwa kwenye timu ambazo hazina uhitaj mkubwa wa matokeo hata miaka 3 wakimaliza wa 8 safi tu ni makocha wakali wa timu za daraja la kati timu kubwa wanatimuliwa
Arsenal Sasa hivi huwez kuiona nje ya top 3
Halafu Di zerbi anauwezo mkubwa Sana kuliko 7hag
Hivi ukiulizwa mpaka Sasa 7hag anacheza mfumo gan unaweza elezea
Ukiulizwa kwa £400m aliyopewa amefanya Nini Cha Maana ,Kama usajili unaonekana mbovu
Je 7hag ni chuma ulete
Safari 7hag anaweza wapeleka nafas ya 10
Msimu huu nafasi ya 10 inamuita£400 huoni kama timu imamalizs nafasi ya 3?
Mimi sipigi ramli , nitakukumbusha hapa hukawii kuulizia 7hag hajafukuzwaUnajitahidi kupiga ramli cha ajabu umeshindwa kuipa ubingwa arsenal wa uingereza
Msimu huu nafasi ya 10 inamuita
Mkuu usikomae na tai shingoni
7hag pale Hakuna kocha
Nilisema kwa Anthony,Malacia na mount
Nasasa narudia hata Hojlund ni utapeli tu
Mpaka Sasa timu inacheza ikisubiri miujiza ,
Forest wapo pungufu lakin walikuwa wanawapelekea Moto OT ,
Mpaka Lin mtaendelea kujificha kuwa Graza ndio tatizo wakati 7hag anahusika asilimia kubwa
Mkuu hapa tunajadili uhalisiaKamfukuze ten haag kaka
+44556543788 namba iyo apo technical director atakuelekeza
....View attachment 2733297
Haya kambishie rashford ambaye yupo ulaya
Mimi sipigi ramli , nitakukumbusha hapa hukawii kuulizia 7hag hajafukuzwa
Mlikuwa wabishi Sana mech ya kwanza niliposema Anthony,Malacia ni average players
Na Ten egg ni kocha wakawaida Sana
Leo mnaona aibu kukiri mnakufa na tai shingoni
Hata akimaliza nafasi ya 10 sina nnamchodai msimu wa kwanza na wale wachezaj kumaliza nafasi tatu mafanikio makubwa sana wakat kochwa wako akiwa na
Xhaka
Saka
Aubameyang
Lacazatte
Ozil
Saliba
Martinel
Pepe
Hakuweza hata kushika nafasi ya 5
Arsenal msimu huu Ni strong zaidi ya mwaka Jana , record zinaongea hivo ,na hapo hatujakaa sawa ,Angalia msije pigania top 4 dalili ya mvua ni mawingu
Unamaani arsenal itacheza vizur zaidi kushinda msimu uliopita?
Kuna muda kusajili ni kuharibu timu
Sasa kai na declan lazima wacheze vipi mfumo umekubali?