Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rice mpaka Sasa ameshaonesha hawez kufeli Arsenal

Halafu Arteta anahesabika ana mataji matatu had Sasa pamoja na kutumia pesa sawa na 7 egg ambaye mpaka Sasa hajulikan timu yake inachezaje
 
Ukweli tutausema ,7hag ni tapeli


Kuhusu Anthony nilisema na Sasa mnaona aibu kukiri


Mimi huwa nikisema nasimamia ukweli hata Kama nabaki mwenyewe


Mlimtetea Anthony masebene, Sancho, leo mnaona aibu mmebaki ohoo alifunga goli
 
Unaongea vitu vingi huvijui ,kwanza Arsenal ya Arteta tofaut na ya Wenger ,Kuna similarities chache Sana, halafu Arteta alipitia hicho kipind lkin alikuwa na playing style huku akiwa bado hajapewa fund yakutosha ,had Sasa katumia around £450m


Vipi huyu 7hag had Sasa ametumia £400m lakin timu imejaa wazee na anasajili flop kila kukicha


Mnaaminishana ujinga tatizo ni Graza wakati ukweli tatizo ni 7hag


Graza ndio wamesajili kina Malacia, Anthony,Weghost, mount, Hojlund ,
 
Sambi lukonga
Nuno tavares kama sijakosea
A lots of player wamekuwa improved pale Arsenal

Swali huwa tunauliza huyu 7hag amemu improve Nani hapo manjesta

Haya ni wabovu ,mbona anaowasajili ni wabovu zaidi


 
Arteta afukuzwe wakati walimpa project na alihitaji kujenga timu ndan na nje ya uwanja

Kuanzia uongoz had wachezaji

7hag kapewa timu had Ina CR7

Kwasasa haijulikani inacheza Nini
 
Kitu msichokijua . Ni kwamba Arteta kaifanya arsenal kuwa timu ya tofaut kabisa ukilinganisha na miaka 15 iliyopita kulingana na makocha waliopita. Baada ya wenger wamepita makocha wangapi ambao wamedhindwa kufanya alichofanya arteta . Mafanikio ya arteta siyo kuwafunga pep na klop tu . Bali ni kuifanya aresenal kutoka level moja kwenda nyingine Kufanikiwa kwako hakulingani na mtu mwingine kuna mtu anawaza akiwa anapata elfu 2 kwa siku atakuwa amefanikiwa ikiwa alikuwa anapata 100 kwa siku . Kuna mtu anawaza akimiliki gari na nyumba atakuwa amefanikiwa japo lwa wakati huo amepanga na ana uwezo wa kulipia hata 250k kwa mwezi . Mafanikio hayafanani bali mafanikio ni kutoka level moja kwenda level nyingine juu
 
De zerbi ni kocha wa kawaida sana msimpe sifa zisizo zake.
 
Umeandika utumbo mwingi Sana

Na hoja yako unajifichia alimpa Nan debut na yupo XI

Nimekupa mifano ya Pep na Klopp hapo city na Liverpool

Umedai sio level zake

Sasa Mikel Career yake inaanzia Arsenal na kazi aliyoifanya inaonekana


Nimekuuliza Kama ana misimu mitano ,kila msimu una mech 38 ,zidisha kwa misimu 5, nipe idadi ya mechi unaleta porojo


Porojo zote ni kutetea 7hag ,


Ukweli unabaki pale pale 7hag ni kocha wakawaida Sana


Hana tofaut na David Moyes au Tony pulis


Ndio Maana hata Sajili zake karibu zote anabahatisha tu


Kwasasa anamtaka Kukubela

Bado anafanya ubahatishaji
 
hamis7 anamuamini de zerbi km kocha bora sababu anacheza mpira km wao....MIMI hata uongee mwaka mzima huwez niaminisha arsenal ni timu tishio au arteta ni kocha bora kuliko ETH, nina akili na situmii mihemko kama huyu hamis.
Sio sababu hiyo ,kocha mzuri unampima kuanzia sajili na ku impliment playing style


Mpaka leo na had anafukuzwa 7hag hata weka playing style,unajua kwanini ?


Ni kocha ambaye kwenye usajili tu anapuyanga


Ni sawa daktari kumfanyia operation ya kichwa mgonjwa wa miguu
 
hamis7 anamuamini de zerbi km kocha bora sababu anacheza mpira km wao....MIMI hata uongee mwaka mzima huwez niaminisha arsenal ni timu tishio au arteta ni kocha bora kuliko ETH, nina akili na situmii mihemko kama huyu hamis.

Ipo siku utakuja kukubali

Wenzio wanakubali ila kimya kimya

Ten egg hata kwa Unai Emery bado Sana

Nakupa hint ya kujua Ten egg ni kocha wakawaida Sana, alipomsajili Anthony kwa €100m mchezaji ambaye alikuwa anamjua Ajax , mchezaji ambaye hakuwa na impact yoyote ,bado akataka manjesta kwa gharama yoyote ,hii ilitosha kujua hapa kocha ni type ya kina David Moyes



Niliwahi waambia humu Ole gunar ana uwezo mkubwa kuliko a Dutch David Moyes Erik 7 hag
 

Kamfukuze ten haag kaka
+44556543788 namba iyo apo technical director atakuelekeza
 
hamis7 anamuamini de zerbi km kocha bora sababu anacheza mpira km wao....MIMI hata uongee mwaka mzima huwez niaminisha arsenal ni timu tishio au arteta ni kocha bora kuliko ETH, nina akili na situmii mihemko kama huyu hamis.
Mkuu huu Ni ukweli mchungu ,7hag mnampamba humu tu ,kwasasa media zishashtuka Hana uwezo ni mbahatishaji tu


Msikikize Don Carlo


Carlo Ancelotti -

“There is no new coach that looks like me. I like those who bet heavily on the game, like Guardiola, De Zerbi or Arteta, as well as those who are capable of motivating the players, like Bordalás, whom I met and is very nice. I like the way he motivates the team”.

(@managingmadrid )

managingmadrid.com/2023/8/23/2384
 
Watu wanamchukulia de zerbi ni kocha mkubwa ... hapana ni kocha mzuri hatukatai lakini siyo wa kumweka kwenye level kubwa hvyo... bringhton haina hata pressure yoyot
 
Ndio wale waliokuwa wanasumbuliwa na fulam?
Fulham hajaisumbua Arsenal ,walifanikiwa kushikilia bomba , Fabio Vieira kaingia kucheza hiyo nafasi ya Xhaka kasababisha penalty Katoa assist

Mkuu Mimi nitawaambia ukweli siku zote ,7hag ni tapeli ,Graza mnawatwisha matatizo mengine hawahusiki

Arsenal angecheza Kama mlivyocheza na forest ,Arteta anafukuzwa kama Emery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…