hata cristiano ronaldo alizungumzia udhaifu huo.
huwa nakerwa sana ninaposhuhudia wachezaji wetu wanaadhibiwa kinguvu na wachezaji timu pinzani.
unamuangalia bukayo saka licha ya udogo wa umri alionao lakini yupo fiti, huku kwetu wachezaji wetu utadhani hawafanyi mazoezi ya kujenga mwili
mipira ya kichwa ni wadhaifu
second ball ni wadhaifu
n.k
Ten Hag: "If you see the numbers, you see he's [Casemiro] fully fit. I have no doubts they can do it. After 35 mins against Spurs he didn't do it anymore and we were first across the rank of fitness."
“Today, for the first time, he came into team training. Next week we expect him to do a full week with all the team trainings. So he's very near to making the squad.”
Kwamba unadhani ma boss hawalijui hilo swala, hao ma legend hawaja anza kupiga kelele juzi kwamba dop anatakiwa ila ndo ivo utawala mzima wa Manchester Upo ki business zaidi