D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Tafuta vikos alivyokuta klopp na Arteta ,fananisha na resources alizokuta 7hag plus €250m ya usajiliEti hakukuta [emoji23][emoji23][emoji23] Embu kwanza ncheke
Kwamba walivyokua wanacheza Man U kabla ya ten Haag sio mpka uone
Vipofi wenyewe watakuelezea
Sio kwamba maboss hawalijui hilo usiwe kama mgeni kwa Man United kumbuka hadi Van Gaal na Mourinho walifelishwa.Kwamba unadhani ma boss hawalijui hilo swala, hao ma legend hawaja anza kupiga kelele juzi kwamba dop anatakiwa ila ndo ivo utawala mzima wa Manchester Upo ki business zaidi
Na haya ndio aligusia Ronaldo na hii sababu ndio mashabiki hawawataki GlazersNa miundo mbinu training nayo dhohoful hali gym ndo kama wapo barakuda
Ninaumizwa sana na mashabiki mbuziNiliwahi sema hapa ,makosa anayofanya kocha wenu ,mtakuja kuwalaumu Grazzer family
Ogopa matapeli nyumbu hawauzwimwarabu apewe timu haraka sana........
Bado mna ota timu zinazo huzika zina julikana sio kama nyumbu wa drama . uyo hauzikimwarabu apewe timu haraka sana........
Mkono wa nani huu? Naskia ni kiungo la boli! [emoji23]
View attachment 2729178
Leo ni mwendo wa LiveScore tu. Ten Hair akimpanga tena Antony, basi sasa!