Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mtu wa kwanza kumhitaji Ten Hag alikuwa Frenkie De Jong, wengine walikuja tu kwa bahati nasibu, kasome alichokiandika Martinez utajua kama alikuwa target yake au lah.

Ten Hag kutoka Ajax alimhitaji Jurian Timber tu

Angalau wewe unaijua mpira na Man U
 
Mtu wa kwanza kumhitaji Ten Hag alikuwa Frenkie De Jong, wengine walikuja tu kwa bahati nasibu, kasome alichokiandika Martinez utajua kama alikuwa target yake au lah.

Ten Hag kutoka Ajax alimhitaji Jurian Timber tu
Kwamba wachezaji wengine wote amesajikiwa

Hahaha Habari za vijiwen
 
Sasa Arsenyo nayo ni timu au ni kikundi cha comedians?
Timu inaongoza ligi kuanzia Augost mpaka April wanabakiza mwezi mmoja wakabidhiwe kombe wanalegeza makalio.
Wewe ushakua nyumbu sugu, hauelewi
sababu za kukosa Ushindi wachambuzi wote nguli walielezea

Na kabla ya ligi kuanza hakuna aliekua anamfikiria Arteta kwenye ata top10
Alivyoanza kuwakimbiza kwata, mkarudi kumshabikia city

Sasa tuna kosi la dunia wanaonza vyumba sub wapo vyuma
Nyumbu usipotema points 6, niulizwe mimi
 
kwishineiiiiiii,,, end of an era of man shit,,
timu ibadilishwe tu iwe kampuni ya kucheza x
 
Mtu kama Klopp toka msimu wa kwanza ulikuwa unaona tu akiimarisha defense hii timu itakuwa level nyingine. Kufunga magoli haikuwa ishu kbsa, ila kuyalinda.

Ndo maana mashabiki wa Liver hawakuwa na presha.

Kumtetea kocha ambae timu haichezi vzur na matokeo hamna ni kazi sana.
 
Ili kulinda afya yangu ya akili na kupunguza kufuatilia vitu vya hovyo.

Kuanzia leo napumzika kuifuatilia Man United mpaka pale timu hii itakapokuwa na wachezaji sahihi wa kuichezea.

Tukutane msimu ujao.
Ukwel mchungu huu ila ndo hali halisi
 
Sawa mkuu, kwahiyo kumbe team haina shida ya kiungo? Tupo sawa kabisa tukomae na Casemiro na Mctominay kama DM na dogo Mainoo?
Mimi sichambui mpira kwa kufuata mkumbo mkuu, natoa facts, tatizo letu sio kiungo mkabaji wala kiungo mshambuliaji wala sio beki japo tunapaswa kuongeza kiungo mmoja wa kumsaidia Casemiro.

Hadi sasa timu yetu kwenye ligi ni timu ya tatu kwa kutengeneza big chances nyingi nyuma ya Brighton na Newcastle.

Ndani ya hizi mechi mbili tumcreate big chances 6 tumefunga moja tena ni beki ndio kafunga sawa na 16.66%, Brighton wamecreate tisa wamescore 8 sawa na 88.88%, Newcastle wamecreate 8 wametumia 5 swa na 62.5%. Na utd ndio timu ilipoteza big chances nyingi zaidi ya timu yeyote ya big 6, sasa kwa akili tu ya kawaida utasema tatizo la timu ni kiungo, beki au forward?
 
Sawa mkuu, kizuri ni kuwa striker tumesajili na soon atacheza, basi tutakutana hapa hapa na hizi data.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…