Mkuu unamsahau valencia ni muhimu sana kupeleka presha mbele na anakaba kwa nguvu na ukizingatia rafael tayari ana woga wa kadi ya pili presha itapungua sana huku kulia.
Ball to hand... huwa sipendi hii interpretation, sheria inaweza kuwa ya zamani inasemaga mchezaji(defending) akiunawa ndani ya 18 ni penati... ingebaki hivi hivi