Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unaongea kama kichwani kuna funza, punguza makasiriko,,, ndo kwanza mechi ya kwanza shobo kibao.,,,, nyie mliecheza vzr last season mlipata hata kikombe cha uji?

Mliishia kusema injury ya saliba na Jesus iliwanyima EPL,,,,

Msimu ndo kwanza umeanza weka akiba ya maneno,,,,

Kusajili na ku-perfom ni vitu viwili tofauti,,,
 
Watakuja kina Flano kukupinga, matumaini ya wengi ilikuwa msimu huu 10hag atarudi na mpira mzuri, lakin mechi vs wolves bila huruma ya marefa ambao wamesimamishwa kazi, Ten hag angedhalilishwa

Malegend wazaman wameanza kuonya kuhusu Sajili zake za ajabu
 
Uzi wenu umefungiwa huko,,,mkae kwa kutulia mnaongea sana,,,ndo kwanza mechi ya kwanza ,,,, !
 
Mkuu nyumbu ni ile ile Jana leo na kesho

Mkitoka kwenye kutoa toa wachezaji mizigo, inabidi mumrudie 10hag mwenyewe
Wachezaji Wana mikataba na Wala hawafikrii kuondoa

Best method ilibidi mumtimue 10 hag kabla Mambo hayajawa magumu
Aje kocha, mtata

Nakupa scenario moja
Mourinho kipindi yupo Chelsea alikua hamtaki Juan mata, ambae yeye hawazi kuondoka anataga agombee namba
Kuna game muorinho akamuingizia kutokea sub, baada ya dakika 3 akamtoa

Alipoulizwa kwenye press akasema wale watu mata kupamba nao ni ngumu, coz mata ni mfupi

Baada ya wiki mbili nyumbu mkapeleka ofa, Mata kishingo upande akabeba vilago vyake
 
Hata akiondoka Ten Hag wataokuja ni yaleyale nafuu ya yeye kaonesha mamlaka yake.
Nani kakwambia hao wachezaji mizigo anawataka? Huwa anawapa nafasi japo kidogo ili baadae awakate vizuri ni mifano tumejionea.

Wote wataondolewa tu ila shida ipo kwenye kusajili wanaohusika wapo slow wanafukuzia mchezaji miezi hata 3,Kim Min Jae alikuwa si wa kumkosa ila kwa sababu sajili zao wanaanzaga July wakaharibu.


Tunaomuelewa tutasimama nae hadi mwisho mbali na yeye ni Ole tu ndio ambaye alianza kurudisha utamaduni wa timu kama wa Fergie sema alikuwa hana mamlaka ya kimaamuzi.

Akifeli Ten Hag basi tusubiri na sisi kukaa miaka 30 bila kombe la ligi maana hakuna kocha atayeweza hata Pep United anaweza kuonekana tapeli.
 
Eti mashabiki wa manjesta wanakuwa surprised na pira makande ,utadhani last season walikuwa wanacheza pira biliani
United huwa haichezi mpira mzuri tangu enzi za Babu ila fighting spirit tu ndio ulikuwa msingi wa timu,Arsenal ile ya Wenger kuanzia 2004 hadi anastaafu ilikuwa inapiga mpira mzuri kushinda United ila ikatoka kapa.

Hicho kitu now kimekosekana hasa kwa washambuliaji wote wamelegea kama Rashford,Martial na Sancho wanacheza kifaza sana,Antony anapambana kwa jasho lote ila tu sio mchezaji wa kutisha hana maajabu.

Katika kitu ambacho nimekuwa disappointed na ETH ni kukubali kumpa mkataba mrefu Rashford sasa atageuka kuwa nightmare kwake pamoja na makocha wataofuata kuanzia mwakani chezaji halijui hata kujituma linachojua kuja kutafuta huruma eti sijui maumivu ya bega na mgongo,simuoni akivuka goli 15 za ligi msimu huu kwa kumuangalia tangu Pre-season.
 
Msimu ujao watakula hela tena kubwa kwa Julio Enciso.
 
Eti mashabiki wa manjesta wanakuwa surprised na pira makande ,utadhani last season walikuwa wanacheza pira biliani
We jamaa bana.
Vipi mtaingia sokoni kutafuta mbadala wa Timber anayeelekea kitandani kwa wiki 40?
 
We jamaa bana.
Vipi mtaingia sokoni kutafuta mbadala wa Timber anayeelekea kitandani kwa wiki 40?
Inaonesha hujui Arsenal tunachezaje ,option zetu zipoje , Timber Ni RB ,but tulikuwa tunamtumia Kama LB ambapo Kuna option karibu 3, kuumia kwa Timber kumepunguza depth ya kikos hakujaathiri uchezaji ,so tutaingia sokon kuongeza depth ,simple like that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…