Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Gemu ya janaa aloharibu alipoanza na Garnacho badala ya Sancho
 
Varane labda kwa ajili ya goli tu alilofunga ila huyo AWB nje ya tackling mipasi yake mingi alikua anawapasia wachezaji wa Wolves.

Ila wakati mwengine mnamuonea tu AWB anapambana sana angekaa pale uyobdalot wenu jana ingekua story nyengine
Hakuna team yenye fullback ya kulia ambayo hana mapungufu
So appreciate what u have kaka
 
Magwaya bado yupo Sana

Mmeshindwa kumlipa loyality bonus?

West Ham United expect to sign an alternative defender instead of Harry Maguire in the next 24 hours.

[@JBurtTelegraph]
 
Ila wakati mwengine mnamuonea tu AWB anapambana sana angekaa pale uyobdalot wenu jana ingekua story nyengine
Hakuna team yenye fullback ya kulia ambayo hana mapungufu
So appreciate what u have kaka
Mimi AWB hua namkubali sana tu kuliko hata Dalot hua natamani siku moja achezeshwe hata RCB ila tatizo lake jamaa ni pass, hua anafanya kazi kubwa halafu anakuja kuharibu kwenye kutoa pasi.
 
Wakongwe wa manjesta waonya Sajili za kitapeli za kitapeli za 7+3hag

"It’s like Fellaini, it’s like buying Fellaini again..." 🫣

Rio Ferdinand has warned Erik ten Hag against signing Man Utd target Amadou Onana

mirror.co.uk/sport/football…
 
Mimi AWB hua namkubali sana tu kuliko hata Dalot hua natamani siku moja achezeshwe hata RCB ila tatizo lake jamaa ni pass, hua anafanya kazi kubwa halafu anakuja kuharibu kwenye kutoa pasi.

Apo nakuelewa sana nadhan tuna maono Sawa hua natamani sana achezeshwe RCB
Na kwel hua ana wenge mda mwengine
 
Casemiro kama ndo atacheza kama jana mechi zijazo basi tutaisoma namba..

Hivi Magwaya anataka tumtoe kwa greda au vipi??..mtu ni 4th choice na bado anahitajika na Westham na anazingua..bwege kweli huyu.
 
Mlipe loyalty bonus yake...akienda West Ham anajua atakuwa anachukua hela ndogo sana kama mshahara....Sasa £15 million yake mpeni then kiroho safi ataondoka...mnakwama wapi😅😅😅
Casemiro kama ndo atacheza kama jana mechi zijazo basi tutaisoma namba..

Hivi Magwaya anataka tumtoe kwa greda au vipi??..mtu ni 4th choice na bado anahitajika na Westham na anazingua..bwege kweli huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…