Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

𝐓𝐇𝐄 𝐁𝐔𝐓𝐂𝐇𝐄𝐑 πŸͺ“ 🩸.

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2699024
Anastahili kuigiza horror
 
Wanalilia Squad depth wakati huo wanataka Maguire, Mctominay na Fred waondoke.
Wamesahau kuwa injury za mara kwa mara za Varane na Injury ya Licha ilitufanya tumalize msimu nyuma ya Arsenal.
Kuna kuwa na squad depth na pia rundo la wachezaji

Ingekuwa squad depth kocha asingetaka kuwauza kaona tuna rundo la wachezaji avarage wanajaza nafasi tu za kikosi
 
Huenda Elanga atatake off pale Notingham Forests halafu kuna usajili wetu mmoja utaflop.

Kwajinsi Man United ilivyojaliwa kuwa na mashabiki wasahaulifu tutaanza kumtaka Elanga tena na kumtukana kocha bila kukumbukua tumewahi kumrushia kila aina ya matusi huyu kijana.
Acha woga wa ajabu kwani mbali na Pogba kuna mchezaji tuliyemtoa akatamba nje ya United?

Elanga ni mchezaji wa kawaida sana kama akina Angel Gomes tu.

Unaloljwaza haliwezi kuwa mchezaji mzuri akipata nafasi japo ndogo atakuonesha kitu na hilo tuliliona kwa Greenwood na Garnacho ila Elanga hana ile killer mentally pia haijaandikwa kila academy player achezee senior team daima tangu enzi za Babu tumeachia wachezaji wengi tu akina Ravel Morrison,Fraizer Campbell,Ryan Shawcroas n.k

Hata wakifanya vizuri wanapoenda still sio katika quality inayohitajika na United ndio maana hizo timu ndio zinakuwa za level yao.

Elanga akifanya vizuri Forest basi ndio timu ya level yake na sio United hatuwezi kushtuka
 
Hapo ndipo utaona academy ni kikichaa
 
Nyumbu hadi saiv mmeongeza mchezaji mwenye goal 2 tu
20230726_075359.jpg
 
Sofyan Amrabat will not travel to Belgrade for Fiorentina's pre-season friendly and a move to Manchester United is edging closer.

#MUFC have made a bid worth €25M plus bonuses for Sofyan Amrabat.

#LaGazzetta
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2698964
Tukimpata huyu mwamba hakika tutasumbua sana msimu ujao.
 
Anthony Elanga pictured in a Nottingham Forest shirt

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2698972
Dogo atawaka sana huko na tutamtamani yetu macho. Nilifuatilia aina ya magoli aliyekuwa akifunga akiwa academy nahisi kule hakuna pressure na atakuwa comfortable.
 
Kwan timu ya mashujaa hiyo walicheza au manjesta?

Agenda is Agenda
10Hag jana aliamua kuchezesha watoto wa Academy, hakuna mchezaji hata mmoja wa first team aliecheza jana, na mbaya zaidi kaptain Gore alikula kadi nyekundu mapema tu kipindi cha pili.

Line-up: Bishop, Jurado, Fish, Evans, Fernandez, Gore (C), Collyer, Hansen-Aaroen, Hannibal, Shoretire, Hugill.

Subs: Harrison, Mee, Vitek, Aljofree, Pye, Kambwala, Oyedele, McNeill, Mejia.
 
Back
Top Bottom