Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyumbu hadi saiv mmeongeza mchezaji mwenye goal 2 tu
20230726_075359.jpg
 
Sofyan Amrabat will not travel to Belgrade for Fiorentina's pre-season friendly and a move to Manchester United is edging closer.

#MUFC have made a bid worth €25M plus bonuses for Sofyan Amrabat.

#LaGazzetta
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2698964
Tukimpata huyu mwamba hakika tutasumbua sana msimu ujao.
 
Anthony Elanga pictured in a Nottingham Forest shirt


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2698972
Dogo atawaka sana huko na tutamtamani yetu macho. Nilifuatilia aina ya magoli aliyekuwa akifunga akiwa academy nahisi kule hakuna pressure na atakuwa comfortable.
 
Kwan timu ya mashujaa hiyo walicheza au manjesta?

Agenda is Agenda
10Hag jana aliamua kuchezesha watoto wa Academy, hakuna mchezaji hata mmoja wa first team aliecheza jana, na mbaya zaidi kaptain Gore alikula kadi nyekundu mapema tu kipindi cha pili.

Line-up: Bishop, Jurado, Fish, Evans, Fernandez, Gore (C), Collyer, Hansen-Aaroen, Hannibal, Shoretire, Hugill.

Subs: Harrison, Mee, Vitek, Aljofree, Pye, Kambwala, Oyedele, McNeill, Mejia.
 
Usiku wa Leo kama Kawaida yetu wazee wa ngwasuma tunaludi Tena kwa Mara nyingine kugawa burudani kabambe majirani wote karibuni muone The best team in the world zikimenyana leo achana na mechi za kitoto zenye tulikuwa tunacheza.

Manchester United inacheza na dunia nzima ina furaha

Prediction

Manchester United 3 vs Real Madrid 1

Dunia yote macho yapo hapa.
1690394377570.jpg
 
Back
Top Bottom