kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,996
- 10,702
Kwa akili yako ya hovyo bado hujajifunza kuacha ngebe kwa Man Utd?Kaumeme kamerudi huku nikachaji simu kidogo nikasema niingie humu niwape za uso kwanza ndiyo niende kuwapongeza wenzangu. Heh! Kumbe nyie ndiyo mmetufunga?
Hongereni. Nasevu maneno yangu kwenye Microsoft word Kwa next game ambayo tutawacharaza mpaka muache meno uwanjani