Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Back 2005 kwamba wanakuja kutishia tena amani EPL ama
Chelsea kabla ya 2005 ilikuwa timu ya kushika nafasi 5-10

Nikiangalia kikos Chao Sasa pamoja na kutumia £600m unaona bado kabisa ndio wanaharibu

Yote hayo ni huyo mmarekani ,na Jana kamfukuza member mmoja ,kwa jins anavyoiendesha klabu unaona imepoteza nguvu ya ku compete

Thus why Di zerbi anawa mock
 
Pogba
 
Ander herera
 
[emoji23] Arsenal hapana..

Mtoto wa Madrid yule..


Sema mpirani lolote linawezekana
 
ON THIS DAY: In 2002, Manchester United signed Rio Ferdinand for £30m from Leeds United.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
 
André Onana [emoji638][emoji640]

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |View attachment 2696304View attachment 2696305View attachment 2696306
 
-Twende mbele..turudi nyuma
Hivi mpaka sasa tumesajili wachezaji wangapi ukitoa onana,MM na yule wa mkopo kuna mwingine kasajiliwa??
-Takeover haiishi tu mpaka leo??
-Ngachoka waisa...
 
Saafi upara kaweka vitoto vikina Maiono mean while Arteta kaweka kikosi cha UEFA upara mtu sana
Angalia sub za Arsenal hata tukiweka hao bado utasema ni strong team

Hapo vitoto mlivyoweka ni wangapi ,

Arsenal hapo Hakuna anayezidi miaka 26
,ni 20 had 24
 
Vitoto ni vyote
Kipa anatoka U21 uko
maino uko U21
Gernacho U21
Bado unauliza watoto wangapi wakati team yako imeweka kikosi cha Uefa
 
Vitoto ni vyote
Kipa anatoka U21 uko
maino uko U21
Gernacho U21
Bado unauliza watoto wangapi wakati team yako imeweka kikosi cha Uefa
Kenge na Kenge wenzako acheni kulialia mapema
Sasa

Timu yetu wenyewe nao ni watoto
 
Vitoto ni vyote
Kipa anatoka U21 uko
maino uko U21
Gernacho U21
Bado unauliza watoto wangapi wakati team yako imeweka kikosi cha Uefa
Martinel ni U21 , saka ni U21

Sub zetu hizi hapa , toa walioanza chagua unaoona Wana afadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…