Sasa hapo ndiyo maana tunataka Glazers waachie timu. Kocha lazima awe na watu wanaojua football kumpa support kitu ambacho kwasasa United hakipo.Mm nakubaliana na wewe kuzidiwa msimu wa kwanza ,ila lazima Kuna key points tuziangalie ,ambazo zitasaidia kujua mbelen atafika mbali zaidi,
Kwangu mm Ole gunar anabaki moja ya watu wenye talent ID kubwa ni vile hakupewa Uhuru,huyu ndiye aliwataka kina halland, Bellingham,Sancho,n.k wakiwa hawaeleweki, huyu ndiye alimuamin Greenwood had leo mnamkumbuka
Niliwahi fanya mijadala huu na ambangile anaamini ETH kwenye Talent ID bado kwa Ole ,ila anaweza kuwa na mbinu nzuri za ukocha kuliko ole Gunar
Kwa mpira alioucheza ETH mwaka Jana ,ni identity ile ile ya Ole , labda msimu huu ndio anaonesha anataka kuja na mpyaSasa hapo ndiyo maana tunataka Glazers waachie timu. Kocha lazima awe na watu wanaojua football kumpa support kitu ambacho kwasasa United hakipo.
Ole ni kocha mzuri sana. Style yake ilikuwa speed, quick transitions na counter attacks. Huu ndiyo mpira aliotesa nao babu Fergie na ndiyo identity ya United.
Tulishuhudia Pep Gurdiola akinyanyaswa na Ole na kupigwa nje ndani ktk msimu. Tatizo kubwa la Ole ni man management, asingeweza kufika mbali bila kuwa katili.
Ninachoona EtH anapata ugumu kwasababu wachezaji aliowakuta hawafai kwenye system anayotaka kucheza yeye.
EtH anataka timu yake imiliki mpira kwa 75% ktk mchezo, hiki kitu ni rahisi kusema kuliko kufanyika kwasababu siyo identity ya United so ukifuatilia wachezaji wote waliosajiliwa kabla ya EtH walikuwa wanafaa kwenye quick transition & counter attacking football.
Ole na EtH wanatumia aina tofauti kabisa ya uchezaji, nilitegemea utagundua hili na kujua kuwa ni ngumu kuwabadilisha wachezaji kwasababu kumiliki mpira kwa 75% ni lazima uwe na wachezaji wanaoweza kupiga pasi kwa usahihi.
Je, kwa wachezaji walewale wa transition football unaona hili likikamilika kirahisi?
Ndiyo maana huwa nasema inabidi mjue kwanini Glazers hawahitajiki, ktk miaka yote hiyo walipaswa kujua identity ya timu ni ipi. Unapomtoa Ole na kumleta EtH ni rebuild project nyingine inaanza.
Msimu huu United ni kutoa burudani na vichapo tu.Kwa mpira alioucheza ETH mwaka Jana ,ni identity ile ile ya Ole , labda msimu huu ndio anaonesha anataka kuja na mpya
Ndio tunasubiri tuone , je kweli ten hag ni kocha wa mpira mzuri au tapeli tuMsimu huu United ni kutoa burudani na vichapo tu.
6 points za Arsenyani ni uhakika. [emoji16]
Moja ya wachezaj ninaoamini Wana kipaji ,mpiganaji ,box to box Midfielder ila mnaaminishwa ni flopHawa West Ham wanajipendekeza kwa McTerminator. Hawa inatakiwa £50m iwatoke na sisi tuwe na unrealistic prices maana vitimu vingi vinatufanyia upigaji kwenye transfer window.
Ferguson mwenyewe anamkubali sana Tominay na ndiyo alimleta akiwa na miaka 6 tu. Alikuwa anacheza kama center forward.Moja ya wachezaj ninaoamini Wana kipaji ,mpiganaji ,box to box Midfielder ila mnaaminishwa ni flop
Timu ya taifa anafunga na nitegemezi
Najua mtamuuza kwa Bei Chee ataenda kufanya vzr tu Kama Pereira
Wachezaji wetu bila kuwauza kwa bei ya hasara hakuna anayewanunua.Hawa West Ham wanajipendekeza kwa McTerminator. Hawa inatakiwa £50m iwatoke na sisi tuwe na unrealistic prices maana vitimu vingi vinatufanyia upigaji kwenye transfer window.
Kwa sababu mfumo wake ulionekana pre season tu kumbe wachezaji wengi hawafit hasa baada ya kuujaribu game 2 za mwanzo wa msimu tukachezea zote ndio akaja na plan B wacheze kama kabla,wachezaji wetu tatizo lao lilelile hawawezi kupiga pasi hata 20 bila kupoteza mpira na kuwin back hawawezi.Kwa mpira alioucheza ETH mwaka Jana ,ni identity ile ile ya Ole , labda msimu huu ndio anaonesha anataka kuja na mpya
Umeeleza vyema sana na hapa ndio uhalisia ulipo,Ferguson alikuwa na mamlaka kama aliyonayo ETH kwa sasa ndio maana akajenga timu anayotaka hata Ole angepata mamlaka ya maamuzi maybe hadi leo tungekuwa naye kwa sababu asingeingiliwa majukumu hasa ya kiusajili ukiwemo ule wa kurudishwa Ronaldo ambao ukaipasua timu yake aliyoanza kuiunda kwa DNA ya United.Sasa hapo ndiyo maana tunataka Glazers waachie timu. Kocha lazima awe na watu wanaojua football kumpa support kitu ambacho kwasasa United hakipo.
Ole ni kocha mzuri sana. Style yake ilikuwa speed, quick transitions na counter attacks. Huu ndiyo mpira aliotesa nao babu Fergie na ndiyo identity ya United.
Tulishuhudia Pep Gurdiola akinyanyaswa na Ole na kupigwa nje ndani ktk msimu. Tatizo kubwa la Ole ni man management, asingeweza kufika mbali bila kuwa katili.
Ninachoona EtH anapata ugumu kwasababu wachezaji aliowakuta hawafai kwenye system anayotaka kucheza yeye.
EtH anataka timu yake imiliki mpira kwa 75% ktk mchezo, hiki kitu ni rahisi kusema kuliko kufanyika kwasababu siyo identity ya United so ukifuatilia wachezaji wote waliosajiliwa kabla ya EtH walikuwa wanafaa kwenye quick transition & counter attacking football.
Ole na EtH wanatumia aina tofauti kabisa ya uchezaji, nilitegemea utagundua hili na kujua kuwa ni ngumu kuwabadilisha wachezaji kwasababu kumiliki mpira kwa 75% ni lazima uwe na wachezaji wanaoweza kupiga pasi kwa usahihi.
Je, kwa wachezaji walewale wa transition football unaona hili likikamilika kirahisi?
Ndiyo maana huwa nasema inabidi mjue kwanini Glazers hawahitajiki, ktk miaka yote hiyo walipaswa kujua identity ya timu ni ipi. Unapomtoa Ole na kumleta EtH ni rebuild project nyingine inaanza.
Hata kama tuna-offload players na sisi tutumie mwanya huohuo kuwapiga wanaojipendekeza pesa.Wachezaji wetu bila kuwauza kwa bei ya hasara hakuna anayewanunua.
Maguire nasikia tayari huko hakuna maelewano mazuri na Bwana Eric so lazima atauzwa hata kwa hasara €30m itapokelewa
Kwenye transition football Bruno Fernandes ni kama robot.Umeeleza vyema sana na hapa ndio uhalisia ulipo,Ferguson alikuwa na mamlaka kama aliyonayo ETH kwa sasa ndio maana akajenga timu anayotaka hata Ole angepata mamlaka ya maamuzi maybe hadi leo tungekuwa naye kwa sababu asingeingiliwa majukumu hasa ya kiusajili ukiwemo ule wa kurudishwa Ronaldo ambao ukaipasua timu yake aliyoanza kuiunda kwa DNA ya United.
Kwanza nilikuwa naenioy kushuhudia bao si chini ya 2 kila mechi wakati ule Bruno nyuma yake wakiwa Fred na Scott waliwatesa sana wapinzani mbele kule tuna Rashford, Cavani na Greenwood.
Truthfully hadi anafukuzwa nilikuwa bado sijamkataa kabisa.
Kama ETH asipodumu timu ikipata mmiliki mpya wajaribu kumrudisha jamaa wampe nguvu kama yote
Jasusi lile lipo kaziniNajua watakupinga kina Flano na genge lake ,ila point yako ya kumtimua 10hag ni ya msingi Sana , huyo kocha toka amefika hajaendeleza kipaji chochote au aliowakuta , hata waliombeba last season ni wale wale wa toka enzi za ole na Mourinho ( Bruno ,degea na Rashford)
Sajili zake za kubahatisha Sana , Anthony,malacia , viwango duni, Casemiro haijulikan ata step up Tena au ndio maji ya jion sawa na eriksen ,
Anadai kina Sancho,Fred,mctominay,Maguire,n.k ni flop hakuna aliyemtoa point A to B,
Anasubiri miujiza Tena ya Rashford na Bruno ,anasahau Rashford ni Kama uyoga leo mboga kesho sumu , anasahau Degea hayupo Tena .
Alimfukuza Cr7 akamleta shemeji yake Weghost ambaye Hana goli hata moja
Kamleta malacia akiamini Luke Shaw ni flop mwisho wa siku malacia kawa Kama Yahya mbegu ,
Kuwa jasusi na wewe kama easy[emoji23]Jasusi lile lipo kazini
Sijawi kuwa nyumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unawakataa manjesta leo