Tuliza nyege kijana unawashwa nnHali ni mbaya Sana
Kobie maino ndio anajitahidi
Mount huyu tumepigwa
Sancho kitambi kinamsumbua anakosa magoli ya wazi
Tusubiri onana kuchezea magoli kwa ukabaji huu
LB na RB waliopo hawatufai ?Juzi niliandika hapa kuwa tunaenda pre season hatuna GK, hatuna striker, hatuna RB wala LB, katikati tuna Casemiro pekee, kuna Mwendawazimu mmoja alikuja juu sana kwamba tayari tumesha msajili Onana, kiko wapi?????? Leo tuna Leeds
Acha kulialia Onana hakuwa priority ya hii mechi makipa wapo.Juzi niliandika hapa kuwa tunaenda pre season hatuna GK, hatuna striker, hatuna RB wala LB, katikati tuna Casemiro pekee, kuna Mwendawazimu mmoja alikuja juu sana kwamba tayari tumesha msajili Onana, kiko wapi?????? Leo tuna Leeds
Huyo mpuuzi tu hakuna wachezaji wa hizo nafasi wataosajiliwa sio kipaumbele kwa dirisha hiliLB na RB waliopo hawatufai ?
Hapa ulikuwa bado unatambaa ndiyo mara ya mwisho mmechukua ubingwa.Arsenal tumejipanga ,safarri hii tunabeba had world cup View attachment 2686059
Arteta masterclass atazituliza hizi kelele ni swala la muda tuEpl domination for 10 consecutive seasons
UEFA is loading
Hivi mnafikiri UEFA ni kama kilimo cha matikiti?
One season wonder anajidanganya atadominate Epl for 10 consecutive seasons
Ila mashabiki wa Arsenyo siwalaumu sana, wakulaumiwa ni hamis77 anaewaaminisha ubingwa kwa huo mchanganuo wa kilimo cha matikiti.
Beki wa kati kwa waliopo nani anaondoka?Huyo mpuuzi tu hakuna wachezaji wa hizo nafasi wataosajiliwa sio kipaumbele kwa dirisha hili
Nafasi zinazotarajiwa kutafutwa watu ni Striker,Kiungo mkabaji,Beki wa kati na Kipa.
Kijana ana mawazo ya kindezi anatafuta sehemu ya kulaumu kijinga
Tutaomba upatiwe ulinzi mwananguMimi ni mchambuzi nguli, mwaka Jana nilitabiri had wanaoshuka daraja
Nimekataa kazi hapo wasafi maana wengi mpira hawajui
Hizi spana unazopiga kwa Sancho, nasikia Arteta alihusishwa naeTukiweka ushabiki pembeni hapa kwenye nafasi aliyopata Sancho kitambi angekua Mudrick au Weghorst mtaalamu tungehesabu goliView attachment 2686077
Tupo kutoa darasa huru humuIla nyinyi mnaozagaa zagaa humu kama nguchiro wenye njaa siyo mashabiki wa Man United ?
Hamna anayeondoka kwa wale waliokuwepo last season ila si unajua pancha za Varane akiumia tu anatuachia msala wa MaguireBeki wa kati kwa waliopo nani anaondoka?
Unategemea ushinde makombe ukiwa na Shaw, Wan Bissaka, Malacia, Dalot? Em tuweni serious basiLB na RB waliopo hawatufai ?
Achana na masuala ya mpira. 😂😂😂Hali ni mbaya Sana
Kobie maino ndio anajitahidi
Mount huyu tumepigwa
Sancho kitambi kinamsumbua anakosa magoli ya wazi
Tusubiri onana kuchezea magoli kwa ukabaji huu
Kuna Manchester United ya pre season na nyumbu kwenye ligiSamahani kwa ushindi kidogo tulio upata Leo wazee wa ngwasuma na imani tutakuja na nguvu mpya next match.View attachment 2686148