D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Kwanza Hawa mafisi wanaotuita nyumbu. Sawa hatukatai maama sisi ni dunia nzima.Sasa mbona tumeshika nafasi ya 3 mzee ?
Kama tungekua tumeshika nafasi ya 4 hoja yako ya Brighton ingekua na mashiko.
NB: Maana yangu ni kwamba kwa kuwa tulishika nafasi ya 3, zilihitajika timu mbili kutuondoa kwenye top 4, badala ya hiyo moja uliyoitaja.
Kama yeye huyo Brighton kweli angekua good enough na kushika nafasi ya 3, basi sisi tungeshika nafasi ya 4 (still in top four) maana tulimzidi Newcastle points (tungemsogeza namba 5).
Vinginevyo njoo utaje wazembe wengine wote waliosababisha sisi tumalize ndani ya nne bora.
Hadi utakapofanya hivyo, acha kumuonea (kumbebesha zigo) Brighton.
Amekuwa akiweka ngumu kuondoka, anaringia mkataba mrefu alionao pamoja na mshahara mkubwa anaolipwa
Nikikumbuka mechi na sevilla ule mpira ulivyo mgonga kichwani ukaingia mpaka nyavuni nabaki nacheka tuu 😆😂Kuna dalili za kuondoshwa kabisa maana yule bwana ni kama kasahau mpira
Nikikumbuka mechi na sevilla ule mpira ulivyo mgonga kichwani ukaingia mpaka nyavuni nabaki nacheka tuu
Hana mnyumbuliko kabisaSi hiyo tu ilifika mahali hata wenzake wakawa wanaogopa kumpa pass maana wanajua atazingua. De gea mpaka akawa anachukia
Huyu jamaa ni liability
Degea alikuwa anachukua paun375k mzee.De gea alikuwa analipwa 250k pauni kwa wiki huyu onana atalipwa 125k kwa wiki
Jidanganyeni ,Arsenal haichez kwa kubahatisha ,mpira mchezo wa wazihamis last season united ina mafanikio kuliko arsenal yenu, next season hyo kombe la nafasi ya pili tunawatoa....arsenal ilikuw ni bahati km ilivotokea kwa Leicester 2015
Kwamba Arsenal ni competitive team!? 😂Jidanganyeni ,Arsenal haichez kwa kubahatisha ,mpira mchezo wa wazi
Manjesta hii ichukue nafas ya 2? Bado unahitaji misimu miwili zaidi Tena inategemea na 7hag anakujaje maana msimu uliopita Kama alikuwa anabahitsha ,mech nyingi Degea kawaokoa ,na aombe Rashford awe Katika form ile ile kitu ambacho sio rahisi
Arsenal tulishachukua FA NA CS mbele ya pep na Klopp lakin hatukuona mafanikio ,Bali tumejenga competetive team ambayo imeongezwa Tena nguvu .
Manjesta Kuna timu gan ya maana Sasa hivi?Kwamba Arsenal ni competitive team!?
Pale Arsenyani ukitoa Saka, Ødegaard, Rice, Timber na Trossard wengine wote ni wachezaji wa kusogeza siku tu.
Huogopi? Angalia bench hapo hao manjesta wanaanza ila first eleven yako hata bench kwa Arsenal anaweza kuanza mmoja au wawili au wasianze kabisa , jengen timu achen maneno ,Kwamba Arsenal ni competitive team!?
Pale Arsenyani ukitoa Saka, Ødegaard, Rice, Timber na Trossard wengine wote ni wachezaji wa kusogeza siku tu.
Tukienda na ukweli hivi hapo Arsenyani ni nani anamuweka Bruno bench, usiseme Ødegaard 😁 Havertz hawezi hata kumuweka Eriksen bench, Casemiro kazi yake inajulikana, hiyo defence yenu yote kwa United wanasubiri (ushahidi upo, last season nyie ndiyo mmeruhusu magoli mengi kuzidi United 🤣) Martinelli hakai hata bench maana ni Rashford na Garnacho anachukua nafasi yake.Huogopi? Angalia bench hapo hao manjesta wanaanza ila first eleven yako hata bench kwa Arsenal anaweza kuanza mmoja au wawili au wasianze kabisa , jengen timu achen maneno ,
NB: sub Partey or Lavia
View attachment 2683461