Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msimu uliopita kapigwa 7 na Liverpool de gea akiwa kwenye ubora wake
Nyumbu anaenda kuwa kichwa Cha mwendawazimu rasmi, kila mtu atajipigia tu

Points 6 tunachukua bila kelele
City anaenda kujipigia nje ndan mkono au zaidi
The same kwa Liverpool atajipigia tu
 
Mimi nasubiri tu kuona kocha atafanya nini, kazi yangu kushabikia tu. Nimeona pia watu wengi hawataki hata idea ya De Gea kubaki na Onana kuja yani wao wanaamini akiwepo Onana tumemaliza na hatuhitaji backup nzuri.

Muda ndiyo hakimu.
De Gea hatakiwi kubaki kwa sababu ya mindset ya mashabiki wengi haitawaingia akilini kumuona akikaa benchi kama namba 2.

Kama backup nafuu wasimuuze Henderson ama wamsajili Pickford ila kwa De Gea hapana itasababisha kuibuke mijadala ya kipuuzi sana.
 
Sio kwamba Ten Hag anatafuta sajili ambazo ashawahi kufanya nao kazi ila ni ugumu wa kupata wachezaji anaowataka ndio unasababisha aje na hiyo plan B kwa sababu ni rahisi kuwapata kutokana na connection yao ya nyuma.

Kim Min Jae
Hojlund
Rabiot
Goncalo Ramos
Kane
Kolo Muani
Axel Disasi
Lavia
Taylor Brooth
Diogo Costa
Mount
Jeremy Frimpong
Nunez
Todibo


Hao ni kati ya wachezaji waliokuwa kwenye rada zake na kampata Mount napo kwa tabu,je hao wengine target zake kashawahi fanya nao kazi?

Mazingira magumu ya sisi kupata wachezaji kwa kutajiwa madau makubwa na wengine kukataa ndio shida inayomsababisha aje na alternative ya kusaka wenye connection nae.
Just imagine yule Mac Allistee tungeenda sisi tungepigwa si chini ya €75m tena tungekataliwa pia ila Liverpool wamempata kwa €35m.

Hivi we unadhani January angepewa hela.ya kusajili striker hata €80m angemsajili Weghorst?

So mimi hata akitafuta wachezaji aliofanya nao kazi sina noma nae kikubwa waperform.

In short mazingira yetu ndio changamoto kwake kuna vitu vya kujiongeza.
 
Nimekuelewa Mkuu.
 
ila we jamaa si ndio ulikua unaongoza kumponda De gea wakati ligi inaendelea?
Au yale yalikua ni maneno tu ya kishabiki?
Mashabiki wa upinzani ni wanafiki sana kipindi Maguire anatua hakuwa mbovu kama wa sasa na tulikuwa tunampamba ila wao wanamponda na kusema tumetapeliwa ila baada ya sisi kuanza kumpondea wao wanatetea wanasema Maguire mzuri ila timu ndio mbovu.
Hawana msimamo
 
haya mambo ya kila mchezaji wa Kiholanzi kuhusishwa na Man Utd ndio yanafanya kina Bachelor ll kupata nguvu zaidi ya kumhusisha 10 Hag na ujasusi wa nchi yake dhidi yetu.
Ten Hag hata akiwa Ajax licha ya kuwa ni ligi ya nyumbani ila first 11 yake Waholanzi walikuwa hawavuki wa4.

Hiyo ni plan B yake baada ya kufeli kupata anaowataka.

Numeorodhesha juu target zake ambazo sio za Kiholanzi wala hajawahi kufanya nao kazi ila kazikosa na kuna uwezekano wa kuzikosa kabisa
 
Watu wanajifanya kulia unfair treatment ya De Gea huku kwa Romero walikuwa wanakenua tu.

Mtu game za Cups anacheza zote ikifika semi final eti anawekaa De Gea halafu anachomesha hasa ile semi final ya FA 2020 Chelsea wanatupiga 3-1 kuna mabao kuna magoli mawili aliruhusu ya kingese sana.
Nikikumbuka ya Sergio Romero siwezi kujifanya nina huruma sasa.
Pengine hata ile Europa ya 2017 tusingebeba kama Jose angeleta mahaba na De Gea hadi kwa final,kawaida yake kuchoma games muhimu.

Bruno Fernandes ana mstari wake mmoja alisena huwa anataka kucheza kila mechi kwa sababu anajua itafika wakati hatatumika so anatumia hii fursa anayopewa na makocha ili baadae asiwe na malalamiko na makasiriko(That's why I love my Captain)


So hata huyo DDG muda wa miaka 12 inatosha.
 
Ila hata mashabiki Wa Man U wa pale uingereza ni mafala sana,hivi Kwa muda wote huu wamesshindwa kuwatingisha hao Glazers mpaka waachie klabu? Wanaishia kuandamana kinafikihalafu msimu unaooanza unakuta wao ndio wanaojaa uwanjani kuliko timu zingine. Naamini wangekuwa serious wangekuwa washapeleka ujumbe na hao Glazers wangekuwa washaondoka
 
Fred..

Sancho..
 
Hilo suala haliwezekani. Unajua 95% ya mashabiki wa United hawaishi England!

Manchester tu ina wakazi 1.7m na kwa mwaka 2018 population ya England ni 60m.

Old Trafford kwa mwaka inapata visitors siyo chini ya 1.5m hawa ni watalii.

Old Trafford capacity ni 74k na katika msimu wa EPL kuna mechi 19 za home, yaani wenyeji wasipoingia uwanjani basi wageni wataijaza OT na huwezi kumzuia mtu aliyekuwa na ndoto za kufika OT aache kutimiza ndoto yake ajiunge kufanya maandamano.
 
Wangejaribu tuone hao wageni wapige kelele za kuisapoti timu OT ktk mechi karibia zote
 
Tuna Waholanzi wawili tu Malacia na Van De Beek ambaye kocha kamkuta tayari mnaliallia



Hadi saaa tumehusishwa na wachezaji zaidi ya 70 ila mliowaona wa Kiholanzi tu


Kuna kuhusishwa na kusajili,Ten Hag sio mtu wa hivyo,kama nilivyojibu hata akiwa Ajax sio muumini wa kutumia Waholanzi unless wana uwezo sana na starting line up yake hawakuwahi kuzidi 4.

Kama nawaona vile mashabiki wa Ronaldo bado wanasikiliziaga kocha ateleze kidogo wapate pa kubwekea
 
"Kama nawaona vile mashabiki wa Ronaldo bado wanasikiliziaga kocha ateleze kidogo wapate pa kubwekea
"
 
Wamemtengenezea De Gea fail compilation ya dk 109! Hizi ni chuki sasa.

Kwa style hii wachezaji wengi wakija watakuwa under pressure kwasababu kosa 1 tu mashabiki wote wanakutukana.
 
Wamemtengenezea De Gea fail compilation ya dk 109! Hizi ni chuki sasa.

Kwa style hii wachezaji wengi wakija watakuwa under pressure kwasababu kosa 1 tu mashabiki wote wanakutukana.
Wameziweka kwa ushahidi wa wanaobisha, kuna saves nyingi De Gea anazifanya kufuta makosa aliyofanya dk 1 nyuma.

Nenda kaangalie kama akina Becker na Ederson wana mistakes za kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…