Ten Hag wakati anafika alikuwa na imanj na De Gea hadi akawa anasema mfumo wake atauweza kwa sababu anamuonaga mazoezini akiufanyia mazoezi vyema style yake.Kwa nini david de gea ameshindwa kuendana na mabadiliko ya mpira wa kileo?
Amezaliwa spain, nchi inayosifika kwa kutandaza soka safi.
Kila siku anafanya mazoezi ya mpira, sasa ugumu upo wapi?
Makosa madogo aliyoyalea leo hii yanataka kusababisha aondolewe klabuni kama paka mwizi.
Hakuyaweka akilini yaliomkuta joe hart.
Cheki na Shaffih Dauda kwenye lurasa zake.. ana branch huko bila shaka..Hivi kama Kuna mtu anamjua mtu aneuza hii jez dodoma, aniunge nae plz
Glazer anakeran Santa. Binafasi namshangaa. Huy grazer ni mchawi mno.Our pre-season starts in 2 weeks:
• Glazers still running the club into the ground
• 0 signings made
• No major out goings completed
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2670372
Deadwoods zile za Chelsea zina uwezo sio mbovu.Graza sio Kama hawataki kusajili, utasajilije wakati Kuna kundi kubwa la wachezaji mizigo hawajauzwa na wanakula mishahara mikubwa
Namkubali Tajiri miluzi yule Ni Tapeli haswa , kauza deadwoods wote Saudia , wamemchunguza wamekuta Wala hana uhusihano na Wasaudia
Shida yake Moja tu Sio mtu wa mpira ,anatakiwa awaachie wengine ,
Kilichobaki muombe Partey abaki Arsenal ila akiondoka ndan ya wiki inayoanza ya mwez wa 7 basi mumsahau Lavia labda mumsajili LavaLava.Rice anatua Arsenal huku Caicedo Chelsea.
Man United wanapaswa kumsajili Lavia tena kilazima maana siku akikosekana Casemiro ni maafa,ingependeza wamchukue mapema taratibu aanze kuingia kwa timu ukizingatia Casemiro kavuka miaka 30.
Wenzetu wanasajili sisi tukiingia sokoni wachezaji wazuri washaisha tunaanza kuokota wachezaji wagonjwa,wa bure na mkopo waliovuka miaka 30 eti watupambanie ubingwa.
Hahahah!Glazers wasipouza timu kwa Sheikh Jassim watapelekwa mahakamani na Investors (minority share holders) kwasababu pesa watakayopata per shares ni nyingi sana na timu isopouzwa 100% wanaweza wasije kupata pesa kama hiyo kwahiyo watataka kujua ni kwanini Glazers wanakataa £5B. Kazi kuu ya Chairman ni kuhakikisha wawekezaji wanatengeneza pesa zaidi sasa ikitokea nafasi ya kupata pesa halafu ukafanya biashara kwa maslahi yako binafsi wanahisa wanayo haki kukushtaki.
Glazers safari wamebanwa mbavu. Thamani halisi ya club ni £3B wao wanapewa £5B wasipouza 100% wanahisa wataathirika kibiashara.
Kila siku story ni hizi hiziTuombe yatimie hata tusipokuwa na msimu mzuri kikubwa wale parasites waachie timu View attachment 2672106
Achana na hizi bla blaa unakumbuka siku ile ulikuwa excited baada ya Reuters kusema deal lipo mwishon na Rio Ferdinand kusema kaambiwa
Yah kila siku zinatengenezwa story hizi hizi, Kuna nyingine ilikuwa inasema eti tarehe 27 jamaa wanatangazwaKila siku story ni hizi hizi
Hata mimi nilichoka na hizo mambo ila hizi news zinatoka Marekani tena hili ni suala la kibiashara sio kisoka ndio maana hata akina Fabrizio wanasubiri tangazo la mwisho.Kila siku story ni hizi hizi
Mashabiki wa United mtuache tu. Tunatafuta furaha kwa jambo lolote lile ilihali tunajua kabisa %50 ni uongo. 😂😂Achana na hizi bla blaa unakumbuka siku ile ulikuwa excited baada ya Reuters kusema deal lipo mwishon na Rio Ferdinand kusema kaambiwa
Juz nimeona mnasema Jana ilikuwa atangazwe
Hi timu anapewa Sir Jim