Defensive striker,yaani!Mwisho wa siku mwamba atakuwa ndio striker wetu msimu ujao kwa yanayoendelea
Wale Glazers wanastahili kupigwa hata risasi View attachment 2662567
Defensive striker,yaani!
Kuna mdau alikuwa anasema ana press sana
Kuwachoma moto wakiwa hai kabisa.Mwisho wa siku mwamba atakuwa ndio striker wetu msimu ujao kwa yanayoendelea
Wale Glazers wanastahili kupigwa hata risasi View attachment 2662567
Sema jamaa pia naonaga kama wenzie wanamtenga uwanjani huwa akiwepo huoni zikipigwa krosi kati ila akitoka wanamwaga maji kama yote,hata pasi hawampi wakiona yupo under pressure ndio wanampa mpiraDefensive striker,yaani!
Kuna mdau alikuwa anasema ana press sana
Strikers wachache kama tunataka striker wa maana tumchukue haaland. Huyo harry tutamkataa ndani ya muda mfupiHawa Glazers wangese sana. Sijui lini tutapata top striker kama Harry Kane!
Chelsea wako smart sana sokoniSo Saudi Arabia invest billions into Clearlake Capital, the majority owner of Chelsea.
Then Chelsea spend Β£650million on transfers, putting them in the red with FFP.
Then Chelsea sell all of their deadwood to Saudi Arabia at extortionate prices to avoid FFP.
Harry Kane atasajiliwa Man United I have a feeling kwamba Kane atakuwa United by the end of August.Hawa Glazers wangese sana. Sijui lini tutapata top striker kama Harry Kane!
Harry kane ni striker mzuri kuliko Haaland.Strikers wachache kama tunataka striker wa maana tumchukue haaland. Huyo harry tutamkataa ndani ya muda mfupi
Tutarudi hapa kumlaumu au kuilaumu timu kuwa inaua vipaji vya wachezajiHarry kane ni striker mzuri kuliko Haaland.
Shida ilipo Haaland hana vitu kwa ziada kama Kane,ikizibwa mianya ya kumchezesha utamkataa but Kane anajua kulink up na mawinga hata asipofunga faida yake utaiona,bahati mbaya umri tu unasogeaStrikers wachache kama tunataka striker wa maana tumchukue haaland. Huyo harry tutamkataa ndani ya muda mfupi
Sidhani kama ni wazo la Ten Hag hilo kumpa bwana mdogo huo mshahara,yeye alitaka kumuongezea mkataba tu.