Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Safishasafisha inaendelea.

Kaeni kwa kitulia
 
Timu ya biashara hii wasio julikana izo jezi ata nunua nani
 
Huyo Rashford hadi akiamka vyema nadhani itategemea na progression ya Garnacho inaenda vipi ila kijana akiendelea na potential yake ndani ya miaka 2-3 atamuweka Rashford benchi.

Rashford anaenda kwa upepo na huwezi kushindania ubingwa na wachezaji wa aina hii,Man City kuna mtu kama Alvarez hana uhakika wa kuanza ila ana uwezo wa juu sana ila kwetu wachezaji ambao hawawezi kupata namba timu nyingine pale PL ndio tunaona kama watatufikisha nchi ya ahadi
 
Manchester United are in pole position to sign Andre Onana, according to the Evening Standard


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Real Betis have sounded out the situation of Eric Bailly, who is seen as an opportunity given that he has one year left on his contract and that his club will facilitate his departure.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Manchester United deny concrete talks or contacts for Theo Hernández.


#FabrizioRomano
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Casemiro: “In Brazil, we always say that your first line of defence is your number nine, or your striker. In modern football, you defend with all 11 players, and you attack with all 11 too. That is how football is nowadays.”

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Casemiro: “I reckon it’s now the third season in my career where I’ve managed to score seven goals. I get the odd goal now and again but, of course, I’m not what you’d call a genuine goal scorer!”

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Casemiro: “Everyone likes to get on the scoresheet but a favourite phrase of mine is always that my ball-winning tackles are my goals. That’s what I really like doing.”


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Kaka tuanze kwanza na mapungufu ya mchezaji mmoja mmoja de gea ni mbovu sana huna cha kumtetea juu ya performance yake tena hata izo unazosema anaokoa mara nyingi unakuta makosa ni yake...kuna namna ww unaangalia mpira kwa angle isiyo sawa
Ngoja nibadilishe swali ili nieleweke.

Unataka kusema kwamba katika kikosi kilekile cha Utd, ikitokea tukebadili kipa basi mambo yatanyooka vizuri na tutakuwa na team shindani??

Mimi napingana na mtu aliyedai kuwa De Gea ndio kasababisha team yetu kuwa mbovu isiyokuwa ya kiushindani, ile UTD imeoza yote. De Gea anaweza kuwa hafit kwenye mpira wa kisasa ila hana huo ubaya mkubwa kiasi ambacho mnajaribu kuukuza.
 
Tulianza na maguaya sasa n degea na lipo wazi ambae atufai anatakiwa akae pembeni
 
Hujaelewa mantiki iliyopo!

Ishu ni kwamba timu inahitaji mabadiliko makubwa wachezaji kama 6-7 wanahitajika dirisha hili ila sehemu muhimu zaidi ni kwa kipa kwa sababu timu inatakiwa icheze kutokea nyuma

Msimu uliopita kocha alifeli kuingiza system zake kutokana na hili la build up De Gea akipigwa pressing anafanya makosa mengi na ndio maana kocha hakutumia mfumo wake tena baada ya kupigwa 4-0 na Brentford ndio akaja na plan B ndio ikatumika msimu mzima.Pia anahitajika striker atupe magoli ya kutosha kwa sababu kuwategemea akina Rashford wanaoenda kwa upepo ni kujichelewesha.

Then baada ya hapo wanahitajika wachezaji hata wa4 wenye uwezo wa kuanza first 11 waongeze upana wa kikosi ili wale wanaoanzaga ndio wawe backup yao.

Kocha kushindwa kuimplement mfumo wake kisa kuvumilia wachezaji wasioendana nao kunaweza kumpelekea kufeli.

Tukikosa wachezaji muhimu hatutaki kuona lawama zinapelekwa kwa kocha wakati tatizo linajulikana wamepita makocha wengi still wakiondoka lawama zao zinagusa palepale kwenye tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…