King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,988
Aaah sawaHiyo €120m ni intial nimeweka maelezo juu kwamba wakiuza wachezaji kadhaa inaweza kuongezeka hadi hata €300m.
Hapo wanaweza kupata wachezaji hata 5/6.
Tatizo kikwazo ni takeover maana ingekuwa Mwarabu akiinunua timu anaanza kazi haraka labda tungeweza kufanya sajili zote hata July kwa hela yake.
But sasa cha kushtua ni kwamba inatakiwa approval toka kwa Premier League ambayo inaweza kuchukua wiki 8-12 na kwa mahesabu ya haraka ligi inakuwa ishaanza na hata dirisha la usajili linakuwa limefungwa.
Nadhani tuanze kupigia maesabu hela ya mmiliki mpya kuanzia January mwakani.
Kaka tuanze kwanza na mapungufu ya mchezaji mmoja mmoja de gea ni mbovu sana huna cha kumtetea juu ya performance yake tena hata izo unazosema anaokoa mara nyingi unakuta makosa ni yake...kuna namna ww unaangalia mpira kwa angle isiyo sawaNi mechi nyingi sana msimu huu tumetoka uwanjani "kwa asante De Gea" , team imeoza kuanzia mabeki, viungo, huko mbele ndio viazi kabisa.
Hizo game zote ulizotolea mfano tulifeli kwasababu ya hesabu za kocha katika sub, wala haikuwa kawasababu De Gea alikuwa anapoteza possession.
Mechi kama ile tuliyopigwa goli 4 na BENTIFORD utasema ni kipa? Ila ya Liverpool tuliyokula goli 7 utasema ni kipa? Zile goli 6 za City utasema ni kipa? Ile game tuliyosuluhu na Crystal palace licha ya kuongoza goli moja tulipigwa msako mkali sana tukapona kwasaabu ya De Gea.
Mechi zetu dhidi ya Spurs, Sevilla, Barca, ARSENAL (ile ya 3-2) na nyingine nyingi, ni mechi tulizopoteza kipumbavu licha ya kutangulia kwasababu ya ujinga wa Ten Hag kwenye sub zake. Ni mara chache sana Ten Hag apige hesabu za kufanya sub kisha zifanikiwe.
Kwa mfano wa mechi ulizotoa bado sio sawa kumtupia lawama De Dea.
ITAFUTWE SABABU NYINGINE GENUINE, SIO KUSEMA DE DEA NI KIPA MBOVU.
Ishatoka hiyo njia pekee ya kumpata ni kumsajili kwa dau zaidi ya walilooffer Bayern na mshahara zaidi tena hijacking ihusike kama tulivyofanyaga kwa Martinez na Malacia"Chelewa-chelewa utapata mwana si wako."
View attachment 2659934
Usajili wa Min-Jae ni atakayeweza tu kumshawishi mchezaji maana ana release clause itakuwa activated July.Ishatoka hiyo njia pekee ya kumpata ni kumsajili kwa dau zaidi ya walilooffer Bayern na mshahara zaidi tena hijacking ihusike kama tulivyofanyaga kwa Martinez na Malacia
huyu bwana na Sancho hawatufikishi popote.Msenge kama huyu aliyecheza mechi chache kuliko werghost ndio akupe ubingwa,
Kwa kazi gani aliofanya hadi awe na mapumziko ya ulaji bata kama haya
View attachment 2660044
Wa kuuza huyu,kwanza sura yake akiwa uwanjani ni kama kalazimishwa kucheza.Msenge kama huyu aliyecheza mechi chache kuliko werghost ndio akupe ubingwa,
Kwa kazi gani aliofanya hadi awe na mapumziko ya ulaji bata kama haya
View attachment 2660044
He is one of those likable people.Anazuia riziki za wenzake, halafu ni toto pendwa la bosi glazer
Soka la sasa hivi ubishoo na uvivu ndiyo vinaongoza. Martial, Sancho, Rashford huwa naona kama ni watu wanaojaza nafasi tu United. Siyo watu wa kutegemea kabisa.Msenge kama huyu aliyecheza mechi chache kuliko werghost ndio akupe ubingwa,
Kwa kazi gani aliofanya hadi awe na mapumziko ya ulaji bata kama haya
View attachment 2660044
Safishasafisha inaendelea.Habar za leo ndugu zangu, leo naomba nichangie kidogo kwenye hili jukwaa baada ya kimya kirefu.
Kitu cha kwanza ambacho inabidi tukubali ni kwamba kwa sasa tupo nyuma sana na washindani wetu wakubwa kwenye Ligi achia mbali UEFA, na ni ngumu kupata timu ya kugombea ubingwa kwa msimu ujao( kama tutaendeleaa kuwa chini ya Glazer). Kama Muarabu atachukua timu safari yetu itakuwa fupi,
Maelzo yangu ni assumption kama timu haitaenda kwa mwarabu kabla diriaha halijafungwa
Kwa dirisha hili la usajili kwangu naona litakuwa limekwenda vizuri endapo tutakuwa tumepunguza wachezaji mizigo( wasio na msaada) kuliko hata kusajili wachezaji wapya wengi.
Wachezaji kama Wanbissaka(Sababu Dalot katoka kupewa mkataba) ,Maguire,Mctominay,Martial,Elanga,Brandon Williams,Van de beek unaweza ukawauza kwa pesa za nyanya ukakusanya ukapata mchezaji mmoja au wawili wanaoweza kuwa na impact kubwa kuliko kundi kubwa la wachezaji wasio na faida.
Kwangu ni bora kubaki na Maino na Zidan kuliko kumtegema Mctominay auu Fred.
Kwa mtazamo wangu natamani tungepata kipa zaidi ya Degea, ila kwa bajeti hii ya maandazi sioni hili likitokea. Kwa hiyo Dean angerudi ili agombanie namba na De gea,(uzuri wa Ten Hag) ana uwezo wa kumuweka benchi mchezaji yoyoye ambaye ana under perfom. Ila ili uweze kumuweka benchi ni lazima unaye mpa nafasi awe bora kuliko unaye muweka benchi. ( hii ingeleta chamgamoto chanya kwenye nafasi ya golkipa) tungeweza kusogea kidogo.
Halafu hela zote zile zitazopatikana kwa kuuza wachezaji wa mafungu zingeelekezwa kwenye nafasi ya Ushambuliaji (Tungepata Striker mmoj wa maana) na mchezaji kiraka mmoja mfano wa Caicedo. Ukipata mchezaji kama huyu unakuwa ni kama una wachezaji wawili au watatu. Anaweza kucheza kwa ufasaha zaidi ya nafasi mbili.
Binafsi naona Ten Hag amefanya kazi nzuri kwa msimu wake wa kwanza ila kama hatapewa support ya dhati tutarud pale pale kwamba kocha hafai.