Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United have held talks with Wolfsburg's Felix Nmecha (22) - the midfielder could cost €15m.


#Sport1
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
ManUtd's projected squad

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
Uzi unatambulishwa lini??
 
Ndugu yangu ,Timu atapewa Sir Jim , maana ni Chawa wa Grazzer
Timu wanapewa Qatar ni suala la muda tu. SJR na INEOS wametumika na Glazers ili Sheikh Jassim aongeze dau. Baada ya 5th bid wiki iliyopita jana taarifa kutoka reliable sources zinasema tayari wanasheria wa pande zote mbili SJR na Sheikh Jassim wanamalizia taratibu za kishetia na RAINE ili kusubiri maamuzi ya Glazers.

Kufikia hatua hii maana yake Glazers wamepata walichokitaka. Kama wangetaka kumuuzia SRJ ili wabaki basi dili lingeshaisha mapema.

Wanafamilia wanne wa Glazer wanataka full sale 100%.

Pia kwenye soko la hisa NYSE, Glazers waliweka vipengele vya kisheria kuwa endapo Class B shares zitauzwa kwa mtu asiye mwanafamilia automatically zitabadilika kuwa Class A shares (10x less voting rights) maana yake hata wakibaki na 20% tu ya hisa bado watakuwa na nguvu ya maamuzi.

Hakuna mfanyabiashara mjinga, SJR ili apewe timu ni lazima sheria hiyo ibadilike. Hawezi kubali kutoa pesa halafu bado Glazers wamuongoze. Njia rahisi ni kuuza 100% na Manchester United kuondolewa kwenye soko la hisa NYSE na kuwa private asset.

Kibiashara Glazers watapata over 5B cash wakimuuzia timu Sheikh Jassim ila wao kumuuzia timu SJR ili wabaki na 20% shares maana yake wana-bet wakiamini hisa za United zipande thamani. Sasa kama hawatakiwi na mashabiki maana yake wao kubaki United kwenye soko la hisa ikifanya vibaya wanaweza wasipate hiyo 5B ambayo tayari Sheikh Jassim anawapa bila kucheza kamari. Pesa hiyohiyo watalipa deni la timu, watachukua pesa ya 69% ya hisa zao. Wanaweza kubaki na 3.5B.
 
Wadau huku kwetu tunatarajia kuendelea na usafishaji wa nyumba...kama kuna chochote hapa kwetu unaweza kuokoteza mnakaribishwa.
Tunatarajia kuanza kuweka floor screed mpya.
 

Attachments

  • 1686575147475.png
    148.9 KB · Views: 13
Mambo ya on loan ndo sitaki kuyaskia saivi kwa senior players waliokuwa kwenye kikosi cha kwanza.
 
Manjesta is no longer theatre of making dreams rather than killing dreams


Dimaria

Memphis Depay

Alexis Sanchez

Paul labile Pogba

Mason Greenwood

Rashford

Cavan

Sancho



List Ni ndefu ...

Manjesta is no longer a team it's Mortuary.
 
Manjesta kwasasa haina pesa za usajili Hadi mchakato wakuuzwa timu ukamilike

Mpaka Sir Jim akabidhiwe timu mtakuta Sokoni wamebaki kina Aubamayang , Vicent ABOUBAKARI....

Targets ambazo mngezinasa mapema ,ila hamtazikuta

Rice- Arsenal

Caicedo- Chelsea or Arsenal

Onana- Chelsea

Kim Jae- PSG

Kane- Madrid or NOT FOR SALE
 
Mount unamfananisha na Caicedo? Caicedo mtu mwingine yule aisee

Muweke #6 ,#8 au RB INVERTED DM , anakupa A+

Mount alifanya vzr msimu ule wa Tuchel ,baada ya hapo amekuwa Kama Dele Ali
Caicedo hawezi kucheza advanced #8. Mount na Caicedo ni profiles mbili tofauti.
 
Caicedo hawezi kucheza advanced #8. Mount na Caicedo ni profiles mbili tofauti.
Inategemea na kocha tu, kwa mifumo yenu hapo manjesta unaona Ni ngumu, mfano sisi tunamleta Rice ambaye Ni DM aje acheze advanced 8,

Awali ungemwambia mtu Caicedo anaweza kucheza RB inverted CM angebisha ,ila kacheza hivo mechi 10 za mwisho kwa performance kubwa .
 
Hamad bin Jassim who is the father of Sheikh Jassim & owner of the media outlet reporting that Qatar has won the bid for Manchester United

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |View attachment 2655550
 
Qatar leading the race to buy #mufc and now Mbappe has asked to leave PSG


#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…