Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi Kama mchambuzi nguli kwa Mara ya kwanza nimeiona manjesta vs Mancity ikifanya buildup kutoka nyuma Mara kadhaa na inafanikiwa

Kwasisi wahafidhina tunaoangalia positive na negative , hii imetutusha kidogo

Kama Mtasajili yule Kim ,acheze na Martinez na kipa Kama Onana ,au David Raya , mtaokota points nyingi

Maana manjesta wakifika eneo la Kati wanakuwa quickly kufanya transition kwa pass 2-3

Kwasisi ambao huwa hatuishii kuangalia matokeo tu ,dhidi ya city Kuna positive sign zilionekana

Kwasasa inategemea na Sajili mtakazofanya

Uwepo wa GK mwenye footwork , Lisandro ,CB like Kim, Luke Shaw ,

Itawarahisishia kuondoka nyuma haraka na kufika eneo la Midfield
 
Mngempaga nafasi ya DOF rangnik mngepata wachezaji wazuri kwa Bei nafuu

Tatizo kubwa la manjesta Ni management , wanaofata Ni sehemu ndogo tu ya tatizo

Hao Madrid Wana mtu anaitwa Juni Calafat , sajili zake huwa za Bei Chee ,ukiona sajili za Bei Basi Ni zile sizizoepukika ,Huyo ndiye yupo nyuma ya mafanikio ya Madrid , Perez mpambe tu pale

Calafat ndiye kawaleta kina Rodrigo, Vin, Marcelo, Casemiro, Odegaard, n.k

Sasa angalia manjesta ina Nan mwenye uwezo wakung'amua vipaji au wachezaji sahihi wanaofaa kwa klabu
 
Shida manjesta haina watu wa mpira , wakitajiwa Bei kubwa isiyoendana na uhalisia wanatoa , angalia pale city walivyotajiwa Bei ya Cuculera walisema Wanamthaminisha mwisho Β£35-40m , Tajiri miluzi sababu sio mtu wa mpira akatoa Β£62m
 
Kwa mara ya kwanza tokea kumalizika WC leo ndio nmekuona umeandika positive kuhusu Man Utd.
Kipindi cha nyuma hamis77 kabla ya kuingiza ushabiki wa kuegemea upande mmoja ulikua ukichambua mpira msomaji anafurahi na anatamani kurudia kusoma tena na tena kile ulichokiandika, binafsi mimi nimejifunza mambo mengi niliyokua siyajui kupitia kwenye maandiko yako.
Ushauri wa bure tu kwako wewe jamaa unajua sana kuhusu soka tunakuomba ujikite zaidi katika kuchambua ki professional kama zamani, huu ushabiki lialia tuachie sisi akina Flano ambao tuko hapa kwa ajili kuchangamsha tu majukwaa na kuburudisha mashabiki kwa utani na masihara ya hapa na pale.
 
Hivi uyo KIM mbona hana tafauti na magwaya sana stat zina mbeba lakn uchezaji wake n ule ule mzito kama wlivyo magwaya tu fuatilia utaona
 
Point.
 
Climbing up the #PL table

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
Manchester United 'would be willing to trigger Β£52m release clause' for Napoli star Kim Min-jae.

#MEN

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
Survey: Β£70m valued Mason Mount (24) or Β£80m valued Moises Caicedo (21)?

Pick one.

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
️JUST IN: Chelsea don’t want to negotiate for Mount, it’s Β£70m or NOTHING.

[Fabrizio Romano]
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
#MUFC are monitoring Leon Goretzka’s situation. They are aware that his future is uncertain but there are no concrete talks or negotiations yet. Goretzka definitely wants to stay at Bayern Munich.

#SkySports
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
1st phase midfielder maana yake tupate mtu kama De Jong, jambo ambalo ni gumu kutokea.

Badala yake ni bora EtH auze Bissaka asajili Timber kuja kucheza inverted full back.
Hivi kuna Mbadala mwingine wa De Jong?

Naona Tumerudi tena kwa Rabiot.
For free naona ni sawa tuu.
Rabiot anaweza kucheza namba 8 na 6.

Hapo kwa Timber, sijui wanasubiri nini Uza Bissaka chapu.
Uzuri wa Timber anaweza kucheza Centerback vizuri tuu.
Na anauwezo mzuri wa kumiliki mpira sio kama Bissaka.
 
Hivi uyo KIM mbona hana tafauti na magwaya sana stat zina mbeba lakn uchezaji wake n ule ule mzito kama wlivyo magwaya tu fuatilia utaona
Binafsi hiyo pesa ya kumnunua Harry Kane ni bora tukawekeza kutengeneza timu ya muda mrefu.
 
Hojlund kama backup striker then striker no moja awe nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…