Sisi ndiyo tutabaki kuwa timu ya kwanza kufanya Treble & Three-peat x2.Man City anakwenda kuvunja rekodi enu ya kiboya 😂😂😂😂
Kweli kabisa. Ukiacha uzembe wa DDG bado timu haina ari ya upambanaji.Sema jana tulicheza laini laini sana.
Timu zinazomfunga Man City ni zile zinazokuwa aggressive sana
Unateseka sana.7 hag na Project uchwara
1:Anthony wa €30m kanunuliwa €100m
Hajafikisha Goli 5 kwenye ligi
2: Malacia - aliletwa Kama mbadala wa Luke Shaw , kilichomkuta kajikuta benchi , Standard ya Malacia ndio 7 hag alikuwa anataka icheze first eleven (HUU NI UTANI )
3: Eriksen ( huyu hawezi kumaliza dakika 60 uwanjani)
4: Casemiro miaka 30+ , huyu Ni class but Ni aibu kumtegemea mchezaji ambaye umri umeenda ,ana guarantee ya Suspension kila mechi
5: Werghost ( huyu Ni mzururaji uwanjani ,ana Goli 0 )
6:Lisandro Martinez huu ndio Usajili Bora , uliozingatia class ,age ,n.k
View attachment 2645692
Hamtengenezee nani wakati straiker hatuna. Kuna wakati unapokuwa na top straiker wachezaji wengine hasa mawinga automatically wanang'aa.Although si namba 9, hata basi kwenye kutengeneza angeonekana
Nyie ni mashoga kwaiyo sioSema jana tulicheza laini laini sana.
Timu zinazomfunga Man City ni zile zinazokuwa aggressive sana
Hawa Chelsea wakuwaacha kwanza maana Kama Ni Engine inahitaji full overhaulSisi ndiyo tutabaki kuwa timu ya kwanza kufanya Treble & Three-peat x2.
Rekodi zipo ili zivunjwe. Man City ni timu bora, wakiivunja hiyo rekodi wamestahili.
Lakini bado dk 90 ili wapate hiyo heshima. Wewe baki na Chelshit yako £600m mmetumia kupambana na Fulham.
Matusi sio mazuri aseeNyie ni mashoga kwaiyo sio
SamahaniMatusi sio mazuri asee
Wewe ni mjinga wa Dunia.Mashabiki wengi wa manjesta Wanataka Technically players ,kipa sweeper ,lakini msichokijua 7 hag hayupo tayari na hajajiandaa na hawezi kucheza Total football
Pale Ajax hata mgunda ukimpeleka atainekana anacheza total football
Ndio maana wachambuz nguli hatujashangaa Dalot kupewa mkataba , Wana bisaka yupo mbion kupewa kandaras mpya
Degea muda wowote atapewa miataba mpya
Tena Degea ndiye anaringa kusaini
record ya Manchester inavunjwa na Manchester siyo chelsick,arsenyani wala livakuku.Man City anakwenda kuvunja rekodi enu ya kiboya
Sawa
Huku dalot na wanabisaka wanapewa mikatabaMadrid anafagia fagia huko kwake,sie tupo tu