Mwalimu wa Zamu Tz
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 1,094
- 2,825
Ona huyu nae mjinga ndomaana ukaitwa nyumbu unafikiri kuachana na mchezaji ni rahisi kama mkataba haujaisha?? Inabidi kuvunja mkataba na kuvunja team inabidi imlipe mchezaji mamilioni ya pesa sasa watalipa wangapi?Tunahitaji ukatili wa mwalimu katika usafishaji wa wachezaji.
Akifeli hapo mwezi disemba tunamtimua
Naona umekuja huku kuwacheka man u[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko very happy 😂😂😂I'm totally flaggerbasted halafu wewe unanicheka..kweli jamani??
Tena?De Gea ukimwangalia kila angle lazima tu umkatae..
Bora hata nyie Chelsea mlitoka kiumeMumepakatwa kiboya sana 😂😂😂😂
rudia tenaManchester city alywas fear manchester united
De gea ni mzigo kwa unitedMiguu ya DIARRA ipo Tanzania, miguu ya DE GEA ipo Uingereza.
Inasikitisha sana