Kama timu msimu huu tumefanya vizuri kinyume na matarajio ya wengi. Tukutane msimu ujao najua kuna watu hawajamuheshimu ETH kwa sasa ila msimu ujuo watamuheshimu. Huwezi kucheza na timu haina straiker EPL na ukamaliza top 4, kufika fainali FA na kuchukua karabao.