Hofu ya wachambuz nguli Kama sisi na kina Roy Keane tunajiuliza maswali haya
1: Mason mount Kama alishindwa kuingia first eleven kwenye timu Dhaifu iliyokuwa shimoni ,je ataisaidia Manjesta?
2: 7 hag hawez kucheza kwa ku dominate na ku control mechi ,je kumleta mount atamtumia wapi au ndio kutafutiana lawama
3: Mount anaonekana Ni profile ya kucheza double 8/10 kwenye mfumo wa 4-3-3 akishambulia half spaces, Je manjesta ya 7 hag ina wachezaji wa hivo? Tukumbuke Degea yupo, dalot kapewa mkataba mpya , Casemiro ambaye sio profile ya Viungo wa 4-3-3 ya double 8/10 yupo
4: Mount kwa £80m Ni muendelezo wa utapeli Kama ule wa Anthonykwa €100m , Sancho €85m ,magwaya €85m ....